Recent content by Sufa

  1. Sufa

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwandishi mkongwe, Mayage S. Mayage afariki dunia

    RIP
  2. Sufa

    JamiiForums Tanzania DAR: Jenerali Ulimwengu apata ajali, alazwa Muhimbili

    Inatisha !
  3. Sufa

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwimbaji mkongwe wa taarab, Bi. Shakila Saidi afariki dunia

    Mmoja wa magwiji wa muziki wa taarabu nchini, na sauti yake boy! Itakuwa nasi daima! "Nami takuenzi wangu mfariji..." RIP Bi. Shakila
  4. Sufa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    Inasikitisha, ila makosa yanafanyika tuangalie yanatatuliwa vipi? Nafikiri Mh. Kitwanga anaogelea kwenye mfereji wa maji taka yato kayo chooni kwake mwenyewe.
  5. Sufa

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Dini Zatajwa Kuhusika na Utoroshaji wa Makontena Bandarini

    Inatia kinyaa kwa viongozi wa dini kukwepa kulipa kodi, mtoto akifa kwa kukosa dawa kwenye zahanati damu imo mikononi mwao!
  6. Sufa

    JamiiForums Tanzania Kikwete: "Kumtukana Nyerere ni kukosa adabu, Tuwaache walivyo, Dunia itawafundisha"

    Ndiyo demokrasia hiyo, hakika Mwalimu angekuwepo hilo lisinge msumbua sana.
  7. Sufa

    JamiiForums Tanzania Nyerere fit to be a saint - Museveni

    Nyerere alikuwa na nia njema kwa Taifa letu na dunia na katika uongozi wake amefanya mazuri mengi lakini pia kuna makosa, kama ukiukwaji wa haki za binadamu na majeshi yetu huko Uganda. Walipora na hata kubaka kutokana na simulizi za wapiganaji hao. Saint no step too far, he won't if like this.
  8. Sufa

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Kitu gani hii! Sasa wanaipeleka nchi pabaya, wameishiwa na hoja?
  9. Sufa

    JamiiForums Tanzania Safari ya Kikwete na Kifo cha Kanumba

    Kifo hiki kinasikitisha sana na kimelistua Taifa (nakiri sikuwanamfahamu marehemu)haswa kwa mchango wa marehemu kwenye ulimwengu wa filamu. Napenda kutoa salamu zangu za rambirambi kwa wafiwa. Lakini msiba huu unamwangaza mtawala wetu, hivi kweli kiongozi wa Taifa anapataje muda wa kutembelea...
  10. Sufa

    JamiiForums Tanzania Safari ya Kikwete na Kifo cha Kanumba

    Stori hii iko kwenye gazeti la Mwananchi la leo 9/04/2012 Sufa
  11. Sufa

    JamiiForums Tanzania Ni Nani Huyu Aliyeiweka Serikali na TRA Mfukoni?

    [/B]"PCCB seizes multibillion illicit sugar The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has impounded a consignment of contraband sugar worth Sh3.7 billion which an importer had sought to avoid paying tax for under the ‘transit goods’ cover ." From IPPmedia.com. Mwenye habari...
  12. Sufa

    JamiiForums Tanzania "JK sacks Defence Minister" The head line that you won't see!

    Au "Rais Awastaafisha Kwa Manufaa ya Umma Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa pamoja na Mkuu wa Majeshi."
  13. Sufa

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Damu mikonono mwao kwa vifo vilivyotokea. Yanamwisho.
  14. Sufa

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Ushahidi mwingine tena kwamba tunahitaji KATIBA MPYA inayoweka mipaka bayana ya hata watu kama Mwema, yeye ni nani kuzuia maandamano ya amani?
  15. Sufa

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na Mahubiri ya EL Shetani Msalabani?

    Akisisitiza umuhimu wa kumtanguliza Mungu kwa kila jambo, Lowassa alisema anamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumpitisha salama katika wakati mgumu. “Namshukuru Mungu hata katika kipindi kile ambacho nilikuwa naandamwa sana, niliyaweza magumu yote katika yeye anitiaye nguvu, tuendelee kumtegemea...
Back
Top Bottom