Recent content by suck Kweyamba anatory

  1. suck Kweyamba anatory

    JamiiForums Tanzania Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

    Kaka kianzio ni bei gani?
  2. suck Kweyamba anatory

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya Udereva, nipo Dar es Salaam

    NAPATIKANA DAR es salaam , gongo la mboto. Kazi ya uendeshaji magari pia pikipiki nipo tayari. Asante
  3. suck Kweyamba anatory

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 6 nataka nianze biashara ya bodaboda

    Hii inahusiana na nn ? Foreign exchange
  4. suck Kweyamba anatory

    JamiiForums Tanzania Bila kupata kimoko Kwa wife sipati usingizi je ni tatizo kiafya?

    Hahahaha. Pole kijana, huo ndio ulevi wako
  5. suck Kweyamba anatory

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliokutana mjini nendeni ukweni mkatambulishane

    Jaman naombeni msaada wenu mwenye copy ya barua ya posa naombeni maana ndugu yenu Nina kibarua kikubwa mbele yangu, nitumie kupita (Email: skweyamba2@gmail.com ) nitashukulu
  6. suck Kweyamba anatory

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke anataka kuolewa na Mwanaume mrefu tu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao hawana loloteee! Wanachotazama ni pesa tu
  7. suck Kweyamba anatory

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heshima kwa Brothers mliooa na mnaishi kwa upendo, amani na furaha katika ndoa zenu

    Tunashukulu mkuu, ila kumbuka dhahabu haiwez kung'ara paspo kuptishwa kweny moto, changamoto zpo kwenye maisha na ili kuwa mkamilifu na imara lazma hayo uyapitie then ndio baraka zikufuate, Chamsingi nikuwa na moyo wa uvumilivu, mwisho wa siku hayo yote hubak kuwa story, na furaha hutawara
  8. suck Kweyamba anatory

    JamiiForums Tanzania Barua yangu ya Posa..!!

    Hongera sana kwa hatua hyo
Back
Top Bottom