Recent content by SuchNoble

  1. SuchNoble

    Mamlaka ya Mapato (TRA) waongeze nguvu katika vituo vya kula chakula barabarani kipindi cha safari

    Malalamiko hayo muyachukue pia, mchukue vijana wanaojitolea wasiishie kutumwa vitumbua na kukoroga chai tu, au kusumbua madukani na masokoni wanajifunza kupokea rushwa waajirini. #Kodikwamaendeleo
  2. SuchNoble

    Mamlaka ya Mapato (TRA) waongeze nguvu katika vituo vya kula chakula barabarani kipindi cha safari

    Magu alikua na uthubutu, Mungu amrehemu, kwanini viongozi waliobaki wanakosa hiko?
  3. SuchNoble

    Mamlaka ya Mapato (TRA) waongeze nguvu katika vituo vya kula chakula barabarani kipindi cha safari

    Kupona ni mchakato wa muda mrefu, kama ambavyo uharibifu umekuwa ni mchakato wa muda mrefu, tukiendelea kususia kila kitu hatutapona kama nchi. My point of view.
  4. SuchNoble

    Mamlaka ya Mapato (TRA) waongeze nguvu katika vituo vya kula chakula barabarani kipindi cha safari

    Serikali isipokusanya kodi hatutasafiri, umewahi kuwaza hiyo
  5. SuchNoble

    Mamlaka ya Mapato (TRA) waongeze nguvu katika vituo vya kula chakula barabarani kipindi cha safari

    Nafikiri kwa msafiri yoyote anayesafiri kwa kutumia either mabasi ya abiria au usafiri binafsi atakubaliana na mimi kuwa vyakula katika hoteli za njiani (stop overs) vinauzwa at a very premium prices. Sasa hoja yangu sio bei ya kuuzwa kwa vyakula hivyo, hoja yangu kubwa ni je, Serikali inapata...
  6. SuchNoble

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mabishani ni mengi sana leo haya hiyo sure odds za leo zikwapi tutembee nazo
  7. SuchNoble

    Wanaume wengi hawana confidence na wanaburuzwa na wake zao kwa sababu hawana nguvu za kiume za kutosha

    Nafikiri pia namna hili swala linavyokua addressed limekua ni tatizo mara mbili, I know a friend alikua akiamini asilimia mia moja anaupungufu wa nguvu za kiume, kwamba anapiga bao la kwanza ambalo hatumii muda mrefu. Nikamuuliza anatumia dakika ngapi alijibu dakika mbili anamaliza mzunguko wa...
  8. SuchNoble

    Unawezaje kujua umerogwa na mpenzi wako

    Tusianze mbali na salamu naamini hadi mnasoma mtakua mpo wazima sana, ipo hivi nilikua na mpenzi wangu ambae imefika muda tukakubaliana kila mtu ashike njia zake kutokana kushindwa kuwa na uelewa wa pamoja katika baadhi ya mambo, na kweli ikawa hivyo, miezi miwili iliyopita tulikutana na...
  9. SuchNoble

    Presha na mihemko imeisha, njoo tuijadili Derby kitaalam

    Ni mchezaji mzuri lakini anaonyesha hajafit bado kuwa mchezaji wa Simba SC, kwanza kaonyesha ubinafsi wa hali ya juu kitu ambacho kinatarajiwa kufanywa na wachezaji wadogo wanaohitaji ku prove something katika jamii ya wapenda mpira, angeweza kusababisha Simba kushinda goli 3 hadi nne kama...
  10. SuchNoble

    Tuite ni ushamba kwa Okrah kufanya hivi?

    Ni mchezaji mzuri lakini anaonyesha hajafit bado kuwa mchezaji wa Simba SC, kwanza kaonyesha ubinafsi wa hali ya juu kitu ambacho kinatarajiwa kufanywa na wachezaji wadogo wanaohitaji ku prove something katika jamii ya wapenda mpira, angeweza kusababisha Simba kushinda goli 3 hadi nne kama...
  11. SuchNoble

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Sijaona kama wamejibu hapa ni kwamba kuna siku kadi yangu imepata shida kuchukua hela dirishani niliingia saa tano asubuhi nilitoka saa nane mchana,remind you nilikua nachukua hela niendelee na mihangaiko kwaio hata kunywa chai si kunywa, unasimama hadi unapepesuka, watu foleni ya mita karibu 20...
Back
Top Bottom