HII SIO KWELI KABISA MIMI NI MTEJA WA CRDB NA NAPATA HUDUMA NZURI TUU. HUU UJUMBE UKO VERY BIAS NA UNAONEKANA HUJAFANYA RESEARCH YAKO VIZURI .ACTUALLY CRDB IS THE BEST IN HANDLING CUSTOMERS
ni kweli kabisa ndugu wazo lako ni Zuri. si sahihi watu kutumia maneno yale machache ya Rais kama tangazo ili kunufaisha Benki moja. hakuna Nchi yoyote duniani inayo we za kuendelea Kwa kuua banking industry. hii ni sector muhimu sana sana Kwa maendeleo ya nchi yoyote ile. sasa hapa kutaka...
Mhhh hii sio kweli mimi nI mtumiaji sana wa huduma hii ya kununua vitu online especially pay pal na ninatumia account na card yangu ya CRDB lakini sijawahi pata matatizo. Ni kweli pesa huwa zinashikiliwa Kwa Masaa kadhaa yasiyozidi 48 lakini baada ya hapo pesa yangu huachiliwa na kukatwa kiasi...
..hizo taarifa sio kweli Riba ya CRDB Bank si kubwa kiasi hicho na hawana masharti magumu kabisa. Nimechukua mikopo mara nyingi ni riba nafuu na bila masharti magumu. Watu wawe wanaongea ukweli jamani2
Yaani ukisoma toka mwanzo unaona the way mko bias ... pia kama mnaisakama CRDB Bank for no reason . Nadhani mna yenu sio Bure. Ila mwenye macho haambiwi tazama . Na wenye macho wanaona u bora wa Benki ya CRDB . Hebu tafuteni mada za msingi acheni umbea wa bila malipo ........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.