Recent content by suarinho95

  1. suarinho95

    Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Ubaya vinaweza kutoa majibu kwmba dogo ameingiliwa ila tatzo kuu litakuja ni nani uyo alimuingilia kimwili? Labda dogo awe amepata ujauzito kwenye ayo mapambano ndo tutajua kati ya muuza mkaa na mwl.Jimmy nan mtuhumiwa kwa msaada wa kupima DNA test Tofauti na apo mwl jimmy na baba Jose wapo huru...
  2. suarinho95

    Naomba kujuzwa juu la hili la Kijeshi

    au commando Jide😂
  3. suarinho95

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Anbsjkqndbbdgwhwjeoxdb Sent using Jamii Forums mobile app
  4. suarinho95

    UDSM mnaharibu future za wadogo zetu.

    Sasa kuna tatizo gani apo mbona wapo waliopata 30/40 walipataje unadhani kama sio juhudi kujituma na kufata kilichowaleta chuoni apo...wenye incomplete inawezekana hawajajaziwa baadhi ya test zao au marks za seminar kitu kinachokuwa solved kama wakipeleka scripts zao kwenye department husika na...
  5. suarinho95

    Aliyesoma Shahada ya Uchumi na Takwimu anaweza kufanya kazi wapi?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. suarinho95

    Aliyesoma Shahada ya Uchumi na Takwimu anaweza kufanya kazi wapi?

    Naomba kuuliza maeneo ambapo mhitimu wa ba in economics and statistics anaweza kufanya kazi...pia fursa kwny soko la ajira kwa anaefahamu Asante!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. suarinho95

    Swali kwa wanachuo

    swali sio ushauri...mm mgeni sijajua matumiz vzur ya page hii
  8. suarinho95

    Swali kwa wanachuo

    samahan nisaidie kuhusu architecture,statistics na actuarial science znakuaje hzo?
  9. suarinho95

    Swali kwa wanachuo

    a
Back
Top Bottom