Recent content by Stuxnet

  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahakama ya ICC itakuja kuponya majereha yote haya japo inachukua muda

    Ukiona wako kimya basi ujuwe wale mahayawani walistahili walichopata cc BLACK_
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Facebook: Je huu ndiyo u-Yuda Iscariote wa Nchimbi?

    Kutoka chanzo cha Facebook;- 👉YA NCHIMBI IPO HIVI - Nimetrace data kuanzia Q692-92 na Zile za Ts629/002/7722/003 za mwezi wa 4 na 8 zote zinaonesha kwanza kabisa ! 👉Mifumo wake wa simu ilikuwa traced , na kosa zaidi alikuwa anawasiliana na x , na y, na z wa Chadema sasa mchezo upo hivi...
  3. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Ulizi kwa Emmanuel Nchimbi si Matakwa ya Samia wala CCM bali Katiba

    Acheni kumjaza ujinga, mtamponzesha atapoteza hata hayo mafao Kwani CCM wanajali Katiba inasema nini?
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Swali lisilotakiwa kuulizwa: Nani alikuwa nyuma ya Emmanuel Nchimbi?

    Pumbavu mkubwa hujui hata aliyetufikisha hapa ni nani? Wewe unadhani bila michezo michafu ya magufuli aliyoianzisha mwaka 2016 kusimamisha shughuli za vyama, kuteka na kuua wakosaji, kuiba uchaguzi wote wa 2019 na wa 2020 na kununua wabunge wa upinzani kwani tungefika hapa? Mtu aliyediriki...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Nchimbi alikuwa "ahead of the game" kwa kujiuzulu. Angesubiri "kura ya Bunge ya kutokuwa na imani" basi angepoteza mafao ya viongozi wakuu wastaafu

    Iko siku tutarudi hapa wakati wamemuondolea mafao. Je unajuwa kuwa Dr Slaa alivuliwa title ya Ubalozi Mstaafu?
  6. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Nchimbi alikuwa "ahead of the game" kwa kujiuzulu. Angesubiri "kura ya Bunge ya kutokuwa na imani" basi angepoteza mafao ya viongozi wakuu wastaafu

    Nchimbi alikosea sana, ilitakiwa ahudhurie kikao cha kamati ya nidhamu ya ccm na angejitetea, angeondolewa umakamu lakini asingefukuzwa uanachama, sasa ndio kaharibu kila kitu
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Nchimbi alikuwa "ahead of the game" kwa kujiuzulu. Angesubiri "kura ya Bunge ya kutokuwa na imani" basi angepoteza mafao ya viongozi wakuu wastaafu

    Sidhani kama anazo za kutosha maana Uwaziri wake uliisha 2013/4 wakati wa JK
  8. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Nchimbi alikuwa "ahead of the game" kwa kujiuzulu. Angesubiri "kura ya Bunge ya kutokuwa na imani" basi angepoteza mafao ya viongozi wakuu wastaafu

    Dk. Emmanuel Nchimbi amefukuzwa rasmi uanachama wa CCM, uamuzi uliotangazwa usiku wa Jumatano, Agosti 26, 2026, na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, baada ya maazimio ya Kamati Kuu na NEC. Hatua hiyo imekuja siku moja baada ya kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais. Kuhusu mafao, kufukuzwa...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru, Tundu Lissu ndio atakuwa Mwanasiasa wa kwanza Kunyongwa kwa ajili demokrasia ya taifa lake

    Kwa hiyo Magu alikuwa shoga? Maana mfiraji na mfiraji wote ni mashoga
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Barua ipo wazi kabisa kuwa ni Fake lakini bado watu wanaiamini jamani someni content ndo mtajua kuwa ni tango pori

    Hata kama barua ni FEKI sisi tunaamini Emmanuel Nchimbi siyo Makamu wa Rais tena
Back
Top Bottom