Recent content by stujadiliane

  1. stujadiliane

    Tanzania haiwezi kuhujumiwa sisi tukiwa tunaangalia

    Tanzania ni nchi yangu.Tanzania ni mahari patakatifu.Tanzania ni mahari pa utulivu na u salama.naumia ninapo sikia watu wakiizungumuzia Tanzania vibaya Kwa sasa Tanzania hatuna shida ya kutembelea ulaya Dar Dodoma inageuka kuwa ulaya.kazi naajira ni zakumwaga. mpaka sasa viwanda vya kumwaga...
  2. stujadiliane

    Naitamani Tanzania isiyo na upigaji kura wala kampeini za uchaguzi

    Napendekeza itafutwe njia nyingine ya kupata madiwani wabunge na Rais nje ya kupiga kura Hii ndio njia pekee ya kujenga Amani utulivu na umoja wakitaifa. pia itakuwa njia ya kuepusha maafa na kutunza rasilimali zetu pia hii itapunguza uhasama kati ya wachaguliwa na wachaguaji Vijembe...
  3. stujadiliane

    Hakuna jambo gomu kama hili

    kwa mtazamo wangu hakuna jambo gumu na lenye kuumiza moyo hapa Duniani kama kuwa na swali ambalo hakuna anayeweza kukupa majibu yake au kuwa na tatizo ambalo hakuna anayeweza kulitatua au kudhulumiwa haki yako na asiwepo anayeweza kukupatia hiyo haki yako
  4. stujadiliane

    NEC lazima mjue Wasabato wana haki ya kupiga na kupigiwa kura

    kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa
  5. stujadiliane

    Maaskofu Walilia amani , Mmoja aonya kuwa ukimya wa watanzania usitafsiriwe kuwa amani

    . Tuombe laradhi tuliookoka siyo wa kuchezea. naikitokea wakawa kanisa LA kilokole itakuwa heri kwao na kwa wa Tanzania wote
  6. stujadiliane

    Namshukru Mungu mimi siyo mwana Siasa

    Na kushukru Mungu Muumba mbingu na nchi kwa kuninyima kipawa cha Siasa. Sasa nakuomba Mora wangu uwanyime na uzao wangu kipawa cha Siasa utujari kazi yoyote ya kutupa ridhiki ila siyo ya Siasa Asante Mora kwa kusikia maombi yangu.Amen
  7. stujadiliane

    Sidhani kama ni busara kwa wazimbabwe kumdharau Rais Robert Mugabe.

    Katika maisha yangu natamani kuwa enzi watu waliotoa nguvu zao na hakili zako kupigania masirahi ya wengine. Africa tulijariwa kuwa na watu mashujaa ambao walikubari kuteswa na wakoloni kwa ajili ya Uhuru wa Africa Siwezi kuwataja wote lakini nitawataja wachache yupo Nelson mandera South...
  8. stujadiliane

    Wabunge 8 na madiwani 2 wa CUF waliofukuzwa, Warudishiwa Uanachama hadi kesi ya Msingi itakapotolewa Uamuzi na Mahakama

    kama hiyo hukumu imetolewa nje ya Tanzania sawa lakini kama unasema imetolewa ndani ya mahakama zilizoko ndani ya Tanzania nitakataa mpaka kesho
  9. stujadiliane

    Wiliam Rutto mwanasiasa mashuhuri Africa na Duniani kote

    Kwa watu wote wanaopenda Siasa na kuzifatilia watakubariana na Mimi kuwa Naibu Rais wakenya Shujaa Wiliam Rutto ndiye mwana Siasa mashuhuri katika karine hii..Wiliam Rutto ni mwanasiasa ambaye amepitia vikwazo vingi na vya hatari pengine kuliko mwanasiasa yeyote Africa Ushujaa wake...
  10. stujadiliane

    Anayejua siasa za Tanzania zinaelekea wapi anisaidie

    Nimejaribu kufatilia siasa za Tanzania na shindwa kuelewa tunakoelekea.sielewi na sijui kama kuna mtu anaelewa.Nilikuwa mfatiliaji mzuri wa suala la bashite sijui limeishia wapi. Kama aitoshi Taifa likaingia katika mshituko mkubwa kwa madiwani wa Chadema kujiuzuru kumuunga mkono Mh Rais...
  11. stujadiliane

    Raila omoro odinga kuapishwa mara tu baada ya uchaguzi

    Kinara wa Nasa Raila odinga ataapishwa mara tu baada ya uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika alhamis kupita
  12. stujadiliane

    Naomba kujua nani mtu mashuhuri katika siasa za Tanzania

    Ndugu wa Tanzania wenzangu ni metafakari sana siasa za Tanzania ziliko toka zilipo na zinakoelekea. ushindani wa umashuri katika siasa za Tanzania nijambo linalopewa kipaumbele na wanasiasa wrote Naomba kujua kwa mtazamo wa mtu mmoja mmoja ni mwanasiasa gani mashuhuri katika siasa za...
  13. stujadiliane

    Wasiojulikana hawapo tena nchini

    Ukakama wa IGP Siro umewamaliza na kuwakomesha kabisa wale waliopewa jina la wasiojulikana. watanzania laleni usingizi mtamu kula na kunywa Tishio la wasiojulikana halipo tens Kweli nchi iliingiwa na hofu juu ya jambo hilo ila viva kamanda siro kuwakomesha watu hao wasiojulikana
  14. stujadiliane

    Tanzania tuliyoingojea kwa shahuku kubwa imepatikana

    Naandika kwa kujiamini kuwa Tanzania ambayo tuliingojea kwa shahuku.hamu nakiu tumeipata.kwanini nasema hivyo.nakumbuka jinsi mbunge Munyika alivyo simama bungeni na kutamka kuwa Serikali ya kikwete ni dhaifu.hata alipoombwa kufuta hiyo kauli aligoma Leo wote tunakubari kuwa serikali ya...
Back
Top Bottom