Recent content by stronger

  1. S

    JamiiForums Tanzania Chadema na media Tanzania wanamaliza mwaka 2016 kwa aibu ya upotoshaji

    Eh eti DOGO...unapokuwa humu jamvini usitumie maneno ya dharau kama hayo mkuu...kuhusu hoja yako nilishakujibu kwa uzuri kabisa kuhusu mauzo ya duka langu kuathiriwa na kuzagaa hovyo kwa machinga hapa mjini ambapo wanauza bidhaa zao mbele ya duka langu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Chadema na media Tanzania wanamaliza mwaka 2016 kwa aibu ya upotoshaji

    Kwahiyo washiriki wote kwenye hili jamvi wapi vijiweni, fikiri kabla ya kuandika
  3. S

    JamiiForums Tanzania Chadema na media Tanzania wanamaliza mwaka 2016 kwa aibu ya upotoshaji

    Usiseme kitu ambacho hauna uhakika nacho..nani amekwambia Mimi ni MTU wa kukaa kijiweni?? Tuheshimiane tafadhali
  4. S

    JamiiForums Tanzania Chadema na media Tanzania wanamaliza mwaka 2016 kwa aibu ya upotoshaji

    Sifanyi kazi serikalini mkuu wamachinga wanauza bidhaa zao mbele ya duka langu ambapo ninalipia kodi kubwa kwa ajili ya pango na bidhaa sasa Wateja wanaishia nje kwa machinga Mimi napata hasara sana hii imetokana na kuruhusiwa kusambaa kwa machinga bila mpangilio...halafu unadiriki kuniambia mm...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Chadema na media Tanzania wanamaliza mwaka 2016 kwa aibu ya upotoshaji

    Mkuu wewe unaishi Tz kweli???..hali ilivyokua ngumu bado unadiriki kuisifia serikali loh kweli jiwe la mtoni hata likikaa miaka 1000 ndani ya maji halipitishi maji
  6. S

    JamiiForums Tanzania National Defence College, kunduchi Dar es salaam

    ni college inayotoa masters na sio degree wala diploma sidhani kama iyo college ipo chini ya tcu wala nacte maana inatoa kozi za mambo ya defence na intelijensia pia
  7. S

    JamiiForums Tanzania National Defence College, kunduchi Dar es salaam

    Wakuu salam kwenu...ningependa kufahamu kuhusu sifa za mtu anayehitaji kujiunga na National Defence College [NDC] kilichopo maeneo ya kunduchi Dar...
Back
Top Bottom