Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Kama kuna aibu basi media na chadema wameumbuka sana kwani waliyoyaandika kama propaganda yameshindwa na kugeuka aibu kubwa sana.
Swala la makusanyo ya kodi,ripoti ya waziri wa fedha inaonyesha serikali imefanikiwa sana huku wapiga ramli wa chadema wakilipa waandishi kuaminisha umma ya kuwa makusanyo yalikuwa ni malimbikizo hivyo kufika february,2016 yangeisha.Wameambulia aibu.
Kodi ya VAT kwenye utalii,chadema na media za Tanzania walituaminisha watalii wangepungua kama si kutokuja kabisa lakini takwimu zinsonyesha idadi ya watalii pamoja na fedha za kigeni zimeongezeka,hapa napo ni aibu ya kufunga mwaka.
Mizigo bandarini,walipiga zumari na hata kulipa waandishi kuandika hasi lakini wameishia kufilisika kwani bandari ndio kwanza inanawiri kwa mizigo licha ya kuongeza kodi na VAT.
Dangote kufunga kiwanda,hapa ndipo walipoumia kwani walitumia miezi takribani miwili hadi kutoa "audio" feki na ushahidi ya kuwa Dangote anafunga kiwanda na kuhamia Kenya.Mara Dangote na JPM wanajitokeza kimya kikatanda viungani mwao kwa aibu ya kufungia mwaka hadi vikaragosi vyao kususa kutoa ripoti ya uingizwaji wa malori takribani mia sita ya Dangote yaliyodhihirisha bado yupoyupo sana.
Hakika Chadema msipobadilika 2017 utakuwa mwaka mbaya zaidi kwenu.
[HASHTAG]#mbowemletebenakiwahai[/HASHTAG]