Recent content by STRONG LADY MASAGARY

  1. S

    JamiiForums Tanzania Histotechnology

    Thanks
  2. S

    JamiiForums Tanzania Histotechnology

    Wakuu naomben mwenye info kuhusu ajira za watu wanaomaliza bachelor of medical lab in histotechology
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ninywe Pombe Gani Wakuu Mkesha Wa Leo !!

    ama kweli yesu anafundisha ulevi chukulia hii siku kwa maana kubwa sana kiroho
  4. S

    JamiiForums Tanzania Safi sana Konyagi, mmetuletea bidhaa zilizo bora, midomo haitanuka tena

    ila jua liver cirrhossis inakusubiri acha pombe hasa hizo zilizotokana na distillation mfano viroba ni hatari kwa afya
  5. S

    JamiiForums Tanzania Uke una rangi gani?

    jibu swali coz kuna wa kawaida na unaoashiria magonjwa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Minyoo sugu aina ya Ascaris (Roundworms)

    Jamani, ina maana mada hamuioni?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Uke una rangi gani?

    Naombeni mnieleweshe, Nasikia kwamba Uke hujisafisha wenyewe na kutoa uchafu wa kawaida. Je, uchafu wa kawaida una rangi gani?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Subira yavuta heri- ngono zembe yaweza kuharibu maisha yako, ngono salama ndio mpango

    kusubiri hadi ndoa pia unajiepusha na dhambi kwan dini zote zinakataza sex before ndoa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    uko kwenye duka la nguo unaulizwa unapenda shati jeupe au lekundu jibu ; au
  10. S

    JamiiForums Tanzania Minyoo sugu aina ya Ascaris (Roundworms)

    Nina rafiki yangu anasumbuliwa na minyoo sugu ya Ascaris (Roundworms) ametibiwa mara nyingi hosptali bila kupona afanyeje.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kusoma medicine bila kupita advanced?

    Je unaweza kusomea udaktari bila kupita advance, yaani kupitia chuo na ni colleges zipi unaweza kusomea?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tuchekee: Maswali na majibu ya kuudhi

    unapenda rangi ya bluu au njano? jibu au
  13. S

    JamiiForums Tanzania Furaha timilifu ya maisha ya mwanadamu inawezekana vipi?

    Kuamini kwamba mungu anakupenda hata pale umapopitia magumu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri za A - Level kwa Arusha

    kisimiri ni the best inaingia top 3 kitaifa hata iliboru is good
Back
Top Bottom