Wimbo: Hisia za moyoni
msanii: Songa ft Double
mtayarishaji : Double
studio : Tamaduni music
Muziki mzuri ni ule wenye uwezo wa kuteka hisia za wasikilizaji. Wasanii wachache sana wanaweza kutengeneza muziki wenye kuteka hisia. Mfano msanii ferouz aliweza kuteka hisia za watu wengi katika...
Hapana kaka, hiyo unayo iongelea wewe inaitwa soga za mzawa ambayo pia ndio jina la albamu. Ambapo katika hiyo hiyo albamu kuna wimbo unaitwa kesho yetu amemshirikisha songa , ndiyo wimbo niliouzungumzia kwenye uzi huu. Asante.
MUZIKI NA UCHAMBUZI
Wimbo: Kesho yetu
Msanii: one the incredible
Albamu: Soga za mzawa
Mtayarishaji: texas
Studio: mlab ( tamaduni music)
Muziki unaowakilisha utamaduni wa hip hop , umekuwa ni muziki unaopendwa duniani kutokana na vitu ambavyo vimekuwa vikizungumziwa na aina hii ya muziki...
So wewe unafikiri hayo uliyoyataja ni imperfections of creation?
Mungu muumba ni most genious in the universe.
Maisha yasingekuwa matamu ( yasinge kuwa na radha hii tunayo ihisi) kama hayo yasingekuwepo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.