Masikini mnatia huruma😩😩 Siyo kwa kujifariji kiasi hicho, magufuli kuapishwa ni must hakuna wa kupinga, watz wamemchagua kwa kishindo, hutaki hama nchi😝😝
Tatizo la wafuasi wa ukawa ni kutokutaka kusikia ukweli mchungu kwao, ukijaribu kuwashauri utaishia kupata matusi na hicho ndo kilicho wa cost kwenye uchaguzi huu, wala msitafute mchawi
Chadema kumpokea fisadi mmoja na kumsimamisha kugombea urais wa nchi ni dalili ya kushindwa kupigana na ufisadi, na hii imepoteza imani tuliyokuwa nayo kuwa cdm ni chama cha ukombozi na badala yake naona wamekuwa tu wasanii wa kucheza na akili zetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.