Recent content by streetsdisciple

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Na wewe acha unafiki, kwani Hamas walivoanzisha mashambulizi kwa kurusha mabomu hakuna watoto wa Israel waliokufa?? Kwaio watoto wa palestina ndo Wana Haki tu ya kuishi..acha chuki kisa dini mzee
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Kwa mara ya kwanza naona muislam anaejielewa humu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Wew si ulisema aliuliwa akiwa disko?? Oky sahivi unasemaje Tena??
  4. S

    JamiiForums Tanzania Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Yani Kuna dini Zina chuki sana....
  5. S

    JamiiForums Tanzania Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Dini yenu inafundisha kuua kumbe?? Yani upo comfortable kutamka binadamu mwenzako auwawee, really???
  6. S

    JamiiForums Tanzania Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Hapo unajiona umeongea point kinoma, et una mito unashindwa kuitumia😂😂
  7. S

    JamiiForums Tanzania Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

    NAS NAS NAS
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni Rapa gani anaweza kushindana na Eminem?

    kumdisrespect NAS ni kosa kubwa sana
  9. S

    JamiiForums Tanzania Beef ya Nas na Jay Z nani alishinda?

    mzee ujengewe sanamu lako pale posta😂😂
Back
Top Bottom