Kapige interview wakwetu, kuna moja hiyo ofisi hiyohiyo, nafasi zilikuwa mia, applicants walikuwa elfu 6, shortlisted wakawa buku 4.
Mwisho wa siku mchizi hakuwa na refa wala nini, kapiga zake dua, kajifua na madesa katimba kwenye pepa ya written akapita, first list ya 100 hakuwepo, wakamtupia...