Kuitwa kwenye interview Tume ya Taifa ya Ukaguzi

Yudatade Edesi Shayo

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
2,903
4,306
Post :Quantity Surveyor II

Wenye experience na hizi interview jamani written huwa wana base wapi maana kama mnavyojua field hii ni kubwa sana ..
 
Hongera boss,nenda ukafanikiwe,sina cha kukushauri .siku na mimi nkipata mchongo wa hivi nitafurahiiiiii
 
Kuna kada ya civil engineer wameita zaidi ya 700 nawaza niende au niahirishe.
Kapige interview wakwetu, kuna moja hiyo ofisi hiyohiyo, nafasi zilikuwa mia, applicants walikuwa elfu 6, shortlisted wakawa buku 4.

Mwisho wa siku mchizi hakuwa na refa wala nini, kapiga zake dua, kajifua na madesa katimba kwenye pepa ya written akapita, first list ya 100 hakuwepo, wakamtupia kwenye database mwisho wa siku zikatokea nyingine wakamchukua.

Kwahiyo mtaalam, nenda kajikunje wakwetu, u never know!
 
Ahsante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom