Recent content by Strategic Thinker

  1. Strategic Thinker

    JamiiForums Tanzania HOJA Baada ya Fao la Kujitoa Kurejeshwa kisheria, Serikali imekuja na Mbinu mpya za Kuzuia Wanufaika Wasipate Mafao Yao

    Hakikisha hujaachana na mwajiri vibaya maana siku hizi application ni online, process inayofata ni employer approval ili NSSF waendelee na other formalities. Baadhi ya waajiri wanatumia nafasi hii kuchelewesha approvals
  2. Strategic Thinker

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NSSF wa mafao ya kukosa ajira haufanyi kazi zaidi ya wiki, na hawapokei maombi mkononi

    Habari za asubuhi members, NSSF wametambulisha mfumo (Online Application - NSSF Unemployment Benefits) ambao naona umekuwa ni kero kubwa hasa kwa waathirika wa ajira ambao wanafuatilia mafao ya kukosa ajira. Maombi yote hivi sasa yanafanyika online. Ajabu hiyo portal yao upande wa kulodge...
  3. Strategic Thinker

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ametendea Haki Hatima Ya Maisha ya watanzania Kiuchumi. Hali ya Maisha ni Ya Kutia Matumaini na Nuru

    Ila we jamaa, kuna muda huwa najaribu kukutafakari najikuta nabaki kukuonea huruma sana na kizazi chako.
  4. Strategic Thinker

    JamiiForums Tanzania I'm a Software Developer, I need help

    Nitumie contact zako, nina project natak tufanye
  5. Strategic Thinker

    JamiiForums Tanzania Msaidieni mwanamke huyu

    Mwambie ajaribu hizi; Anahitajika binti wa kazi maeneo ya Kijichi mbagala Dar es salaam. Majukumu 1. Kupika chakula cha wote 2. Kufua na kupasi 3. Kufanya usafi wa ndani na nje ya nyumba/ bustani Vigezo 1. Awe msafi sana 2. Awe na miaka kuanzia 18+ na kuendelea 3. Awe anatokea mikoa ya...
Back
Top Bottom