Recent content by strain121

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuache ushamba wa kurekodi video tunapokua faragha!

    Ipo kwnye mtandao upi? Tupatie hata link
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika, mpenzi wangu anawasiliana na wanaume wengine

    Kuna mtu humu huna analalamika sana kwamba idadi ya wanaume inazidi kupungua, naunga mkono hoja.
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya hawa wawili yupi baba wa huyu mtoto?

    Basi wakapime DNA.
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Mila za Kiafrika kati ya hawa Wazazi wawili ni yupi ambaye unaweza ukamfikishia Kosa kama hili la Mpenzi wako na akalitatua?

    Hii dunia ina mambo ya ajabu kweli. Sasa ukishamsemea mwenzio kwa baba au kwa mama, then huyo mzazi wako anakusaidia nini!? Je atamwita amuelekeze jins ya kukushughulikia!?? To me it makes no sense. Ya faragha yaishie faragha, na kama unakua faragha unashindwa kuongea unasubiri ukasemee kwa...
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya hawa wawili yupi baba wa huyu mtoto?

    Mtoto ni wa mussa. Na probably ni mtoto wa kike. Majibu yangu yako sahihi kwa 95% tu
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kimawazo: Nahisi naanza kupata depression

    Mim nkafkir hata umepatwa na tatizo kubwa sana, au bidadada kakusngizia mimba. Kumbe unajaribu kuonesha vile hautaki kuchkua majukumu yako mpaka unapata depression, Unataka uoe malaika au wa kwako ni special order
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezaa na mke wa mtu, roho inaniuma mwanangu kulelewa na baba mwingine

    Bwanamdogo kua makini, chunga sana, huko unakoelekea utapigwa na kitu kikali sana kichwani hutoamini . Umejaribu kuelezea situation ilivo japo umetumia uongo mwingi, maybe ni kwasababu hata wewe umedanganywa ukaamini ila tumekuelewa. Ushauri wangu binafsi naanzia hapa "mtoto kafanana na mama"...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

    Hahaaaaaa, an nmecheka sana
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa kishua kanipenda ila nina mke na mtoto

    Bro, siku zote mwanamke hana huruma na maisha yako, na pengine labda ni kwasababu hua hawaoni kama kuna hatari yoyote mbeke ya safari au they dont care ata all. Kwaio ukiruhusu mwanamke akushikie akili zako atazishika kwelikweli na atazitumia effectively. Mimi (nkiwa form 4 shule ya boys)...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kupata followers instagram

    Angalia user name yake kwanza,
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini tofauti kati ya SMG na AK-47?

    Enzi hizo tupo JKT tulfundishwa ukipakia full magazine, kwa rapid SMG inafyatua risasi zote ndani ya sekunde sita.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ana kimeo, napaswa kufanya nini?

    Very sad, kuna mdogo wangu kipindi tupo wadogo ilisemekana anahichokidude, wakampeleka kwa wataalam wakienyej wakakikata & sjui walikosea nini, mpaka leobwanamdogo hawaezi kuongea, uwezo wake pia wa kukontral ulimi wake ni mdogo na mara nyingi hua anajiumaulimi wakati wa kula. Udende unaflow mda...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Itakuwa ndo walikuwa wanajifunza kuchinja.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna Mkuu wa Majeshi mwanamke hapa Duniani?

    Nikurekebishe kidogo, idadi ya misuli ni ilieile kwa mwanaume na kwa mwanamke, ila tu tofauti ni strength ya misuli kulingana na utofauti wa ukuji kati ya mwanamke na mwanaume. Mwanamke anafikia ukomavu wa mwili haraka zaidi kuliko mwanaume. Mwanaume anachelewa kufikia ukomavu wa mwili na hivo...
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Enyi Wanawake tumieni viungo vyenu vizuri maana nguvu ya Viungo vyenu ni kubwa

    Inategemea nawew mwenyew kama utamkabdh akili yako akushikie
Back
Top Bottom