Recent content by storyteller

 1. storyteller

  Wafanyabiashara walia ukata na utitiri wa kodi wa serikali ya awamu ya tano maduka yazidi kufungwa, k'koo inakufa

  Ccm haiwez kutatua jambo lolote ktk nchi hii, hawana mipango wala mikakati..... Ni waongo waongo tuuu, yani laana tupu.
 2. storyteller

  Anayejua kanuni za uongozi wa juu serikalini atawapongeza CHADEMA

  Cdm sio ya kufa leo bruh! Trust me
 3. storyteller

  Upinzani Tanzania una matatizo? Vyama havina Succession Plan hivyo vina Usultani! CHADEMA kuna Usultani? Usultani huu Utakiinua au Utakiangamiza?

  Kinachokwamisha hayo yote ni mazingira ya kisiasa ya nchi hii. Km una njaa, siasa ya tz hutaiweza, na wenye wako fit kiuchumi hawataki kujiingiza upinzani(100%) coz wanahofia kushuka. So, kumuandaa huyo succesor inahitaj kujipanga hasa, ccm inaweza kuandaa kirahisi kwa kuwa ina vyombo vyote...
 4. storyteller

  Naomba kujua namna ya kujibu swali "tell us about yourself" wakati wa usaili

  Mara nyingi si vizur kueleza umri na sijui ulizaliwa wapi coz hivyo wameshaona kwe cv, kinachitakiwa ueleze ni upande wa skills na vitu vya ziada unavyopenda vinavyorelate na hiyo field, Mfano: labda km ni nafasi ya finance, unaweza kusema umekua unajihusisha na mambo ya kijamii na wewe...
 5. storyteller

  Tuliotembea umbali mrefu kwa miguu kwa sababu yoyote ile tukutane hapa

  Tukiwa shule kipindi cha likizo mm na group langu tulipenda kutembea, toka bihawana hadi dodoma mjini. Tulikuwa tunanunua juice karanga na biskut, mizigo tunapakia kwe gari, sisi tunatembea. It was fun.
 6. storyteller

  Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

  Tatizo watu huwa wanapenda njia iwe straight, lkn kiuhalisia nature inaweza kukupitisha njia ya ajabu na km hujasimamia maono yako unakata tamaa na unapitea mazima
 7. storyteller

  Nyumba za mateso (Safe Houses) Uganda na kupotea kwa Ben Saanane Tanzania

  Safe house zipo kila nchi, mnachoshindwa ni kutofautisha kazi yake. Nadhan kibongo bongo zinatumika kutesea watu, lkn kiujalisia safe house hutumiwa na kitengo km sehem ya kuhifadhi watu(asset) ambao wako hatarini na wana maslahi makubwa kwa kitengo hasa wakati wa kukamilisha mission ya kitengo.
 8. storyteller

  Michano/Hiphop/Freestlye

  Maisha, maisha mafupi kama chupi Pesa, tafuta zako, zangu sikupi.
 9. storyteller

  Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

  Kifo ni mwanzo wa uhai........ so, na iwe hivyo.
 10. storyteller

  Serikali ianze kuwachunguza wanaonunua magari mapya na kujenga nyumba mpya na pia isambaze mashushu baa na hoteli zote. Ni wahujumu uchumi!

  em tuma namba yako ya tigopesa tukuwezeshe japo ya mlo wa leo, nahisi hujala siku tatu na huna idea unapata wapi ela...
 11. storyteller

  Falsafa ya ng'ombe wawili

  Hii ya ukiritimba Nimecheka saaaaaaana walah
Top