Recent content by Stonesrain

  1. Stonesrain

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huna kazi ya kufanya mzee, Lala ukue huu mtimu ulishajiozea unatafuta mtu wa kufa nao,njoo spurs kule furaha kila siku... Piga asenane haoooooooo nyambaf
  2. Stonesrain

    Home of AC Milan, Official Thread

    Pamoja mkuu,
  3. Stonesrain

    Tottenham Hotspurs Thread

    Good start kwa Mou
  4. Stonesrain

    Tottenham Hotspurs Thread

    Taratibu tunajikongoja 3 points away..... Naona future nzuri japo sikufurahishwa na matokeo ya mchezo haiwezekani jamaa wanapata goli kirahisi vile mpaka nikahisi zingekuwa dakika zimeongezwa 10 wangepata sare
  5. Stonesrain

    Tottenham Hotspurs Thread

    3up Son Lucas Kane
  6. Stonesrain

    Tottenham Hotspurs Thread

    Impressive Under-23s win at Everton https://www.tottenhamhotspur.com/news/2019/november/impressive-under-23s-win-at-everton/?mobile=true
  7. Stonesrain

    Tottenham; mbona mtafurahi na roho zenu..

    Huyo ndio the Special One hilo ni jiwe gizani
  8. Stonesrain

    Home of AC Milan, Official Thread

    Nimekubali mzee,yaani umejichimbia katika uzi wako peke yako
  9. Stonesrain

    Tottenham Hotspurs Thread

    Pamoja mkuu tuendeleze gurudumu
  10. Stonesrain

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwani unalipwa kiasi gani kwa kusema uwongo? Kuwa mstaarabu liverpool,arsenal na man utd hawanaga tabia ya kufukuza wageni kwasababu ni washabiki wa kweli na wanajiamini lakini pia wana uwezo mkubwa wa kuaccept challenges kuliko nyinyi, Ukishamuona mtu anamfukuza mwenzake katika uzi ujue huyo...
  11. Stonesrain

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Uzi upo ila mods bado hawajauweka sticky,ila upo!mimi ni mwanaspoti na aio mbishani. We unakaribishwa tu na wala hutosikia mtu anakufukuza kule ila utajipiga ban mwenywe kwa mafanikio yetu
  12. Stonesrain

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kuhusu suala la nafasi ni suala la muda tu,sina hata tone la shaka.
  13. Stonesrain

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Unajadili kuhusu timu yako?duh hayo majadiliano yako yana impact gani kwa chelsea mkuu?sio lazima kutetea ujinga kisa umefanywa na baba yako,alafu ukajidanganya ndio heshima hapo NYOTE MWAONEKANA WAJINGA.
  14. Stonesrain

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wewe ni wa kupuuzwa. Hujielewi
  15. Stonesrain

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wewe akili zako ni fupi sana, @lembuMBUMBU yaani ni mbumbumbu na jina lako linaakisi ulivyo..... Kaa tafakari jitathmini kama utakuwa ni fungu la kupata utajua unapojikwaa kila mara rudi jirekebishe uendelee positively ila kama fungu la kukosa endeleza huu upumbavu wako wa kudharau wengine...
Back
Top Bottom