Recent content by stockoperator

  1. stockoperator

    JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo: Magufuli na kisa cha Mussa na Wana wa Israeli

    Kitu ambacho nimependa kuhusiana na hii article ambayo Joket katenga muda wake kuiandaa ni kwamba haijazungumzia swala la demokrasia popote pale,imejaa mapenzi binafsi na muendelezo wa project zote ambazo zilishaanza kushuhulikiwa toka awamu ya nne,huyu dada ana njaa kali sana,na kosa lingine...
  2. stockoperator

    JamiiForums Tanzania Vikombe 3 vya kahawa kwa siku 'vinaweza kuwa na faida za kiafya'

    Napenda kahawa additional link hio hapo Jifunze. The science of why coffee is good for you
  3. stockoperator

    JamiiForums Tanzania Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    spelling error kbla ya yote,pili uwezo wako wa akili ni mdogo.
  4. stockoperator

    JamiiForums Tanzania Masha, Mkumbo, Mwigamba, Albert Msando na Katambi Mwenyekiti BAVICHA, wajiunga CCM

    wakati wa vita ya wenyewe somalia dikteta mohammed farrah aidid aliwatesa walikua wanampinga kwa kublock njia ambazo walikua wanatumia kupata chakula,so walidhoofika na wengi walikufa kwa njaa,ilitokea scenario ya aina hio hio kule nigeria wakati watu wa Biafra walipokua wakipigania uhuru...
  5. stockoperator

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Idris Sultan biashara itakutoa achana na uchekeshaji

    jamaa kuchekesha hawezi PERIOD
  6. stockoperator

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu: Inasikitisha Waziri Kigwangalla kunichafua, kunidhihaki na kusema uongo ndani ya Bunge dhidi yangu

    hata kama walilishikia bango swala la nyalandu na aunty ezekiel je haya yote yanaharibuje efficiency hyake,wapo wa kina silvio berlusconi walishakutwa na kashfa chafu lakini aliiendesha italia vizuri,rais mmoja huko america ya kusini simu yake ilitoa milio ya ngono,haya yote yanatoea kwa kwa...
  7. stockoperator

    JamiiForums Tanzania Nyumba mbili za Lugumi zauzwa kwa Dr. Shika kwa Tsh. 2 bilioni. Mnunuzi abainika kuwa ni tapeli, mnada kurudiwa

    Dr. Luis Shika aliyetangazwa kununua nyumba mbili za Lugumi zilizopo Mbweni amekamatwa na Polisi kwa kushindwa kutoa 25% ya fedha na hivyo Yono kulazimika kurudia mnada wa nyumba hizo.
  8. stockoperator

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa Saudi Arabia Upo Ukingoni Kuanguka

    google tanakh usome ni nini af ndio urudi hapa tuongelee kuhusu wayahudi na wakristo.
  9. stockoperator

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa Saudi Arabia Upo Ukingoni Kuanguka

    saud hawana shida na existence of the state of israel,wenye shida na israel ni Iran.
  10. stockoperator

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Takwimu za Pato la Taifa kwa robo iliyoishia Juni 2017 si sahihi, ZIMEPIKWA! (PDF attached)

    Shock ya watumishi hewa bado ni zimwi kwa mabenki(bad debt),interest ya benki kuu kwa benki haijashuka,marejesho yamekua kazi,biashara zimezorota..Urais ni hekima binafsi na hekima kutoka kwa watu wengine.
  11. stockoperator

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu awashukuru wabunge wote kwa kumuunga mkono

    People of Rimi must grow strong, since education is a greatest equalizer warimi tuendelee kukomaa Singida is about growl.
  12. stockoperator

    JamiiForums Tanzania Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    cryptocurrency zipo nyingi mkuu inayoongoza kwa market capitalization kubwa ni bitcoin zipo nyingine kama ethreum na nk,D9 ni mchezo wa upatu ambao kwa kifupi ni ponzi scheme.
Back
Top Bottom