Kiukweli speech ya Rais Dkt Magufuli aliyotoa ipo vizur ukisikiziliza unatambua kuna dhamira ya kweli maana ukiwa unatengeneza sehemu iliyobomoka huna budi kuondoa vitu vilivyopo wakati huo huwezi leta vifaa vipya inakubidi umalize matengenezo kisha ulete kitu mpya
Jaman kuandika jina au kutoandika haisaidii kujificha kama utaenda mrama na kwenye ujumbe wa kukashifu au kutukana tukifanya ufuatiliaji wa sms zetu tunaona kila kitu kuhusu usajili wa namba cha msingi tujitahidi kuandika kiungwana na kama una hasira tulia kwanza pamoja tuzingatie sheria hata...
Wapendwa naomba mnisaidie hili nimesoma hilo gazeti la dira nikaogopa kidogo kama si sana tu
Jaman hivi kama kweli watu 20 wanatuhumiwa kwa kuiba kifaru kosa ni la Nani?
Je wenye jukumu la ulinzi walikuwa hapo katika Lindo?
Je uhifadhi wa zana hizo za kivita ktk jeshi huwekwa wapi nje kama...
Watanzania tuna katabia tulani hivi sikapendi kweli cha kusubiri kitu kitokee ndio tujifanye kushituka huo si ustaarabu hata kidogo hebu niulize hili na ndugu mnisaidie kuhusu Dkt Mwakyembe kama sikosei mb viti maalum Chadema Singida Jescah Kishoa alimpomtuhumu tulisema msafi lakn hatukutaka...
Nyie uwezo mdogo na akili ndogo kuongoza akili kubwa ni vigumu kila utakachoambiwa utaona kina ukakasi unaweza kuwa sahihi kutokuwa mwanachama wa chama hicho je unataka wengine wakufuate? Jiulize kwa jema lipi wafanye hivyo, kwa sababu gani pia na je ww upo sahihi kiasi gani na yy amekosa nn...
Nadhani tumekosa kitu cha kupongeza basi Kama hujaona cha kupongeza mie nakushauri umpongeze Mama na Baba kwa malezi yao ya upendo kwako unaweza kumpongeza mkeo au mmeo inaleta maana sio kujipendekeza kwa kitu usichojua undani wake
Mzee huyu alifanikiwa kwa kuwa alikuta nchi ikiwa inashida sana akaweka pesa kwa watu lakn pia majibu yake ya kimya yamekuwa sahihi kwa majira na kwa siasa za kukandamiza za akina Magufuli
Jaman huwa nawaza nafikia sehem nachoka kuwaza coz sioni kama kuna uzuri kushabikia kitu ambacho hakina faida kwetu hivi kutokuepo kwa upinzani sie tunapata faida gani? Je wao hawakuenda kuwakilisha watu wao? Na kama bajeti itapita bila maboresho nini faida na hasara zake? Muhanga wa kwanza...
Itakuwa poa sana kama watafuta hvyo viti maalum lakn tunahitaji sana sana katiba ya wananchi ndio suluhu ya kila kitu maana hii katiba ya viraka inatutesa sana
Mmmmh basi labda hufaham kitu nikufahamishe kuna watu wanaufaulu hadi three na wengine four sema hujafanya utafiti tu kwani isingekuwa sakata la UDOM kugoma ungejua kuwa wapo watu wenye ufaulu kiasi hicho?
Duh jaman najua kuna wengine nitawakera lakn samahan sana kwa yule atakayejisikia vibaya kwanza nianze kwa kujiuliza kuna ubaya gani huyo binti kuishi ikulu ndogo alihali wazazi na ndugu zake wanaishi magogoni na hatuoni kama ni kosa? Pili je iwapo kama angeishi chuoni nn madhara yake? Tatu je...
Jaman tuwe na ufaham kidogo badala yake tuache mzuka mwingi chuo kikuu chochote kile nchini kwetu huwa hakidahili wanachuo badala yake hupewa wanachuo na TCU ndio maana huwa tunaomba vyuo via TCU chuo wanachokifanya nikuomba kulingana na mahitaji na course wanazotoa kama wanahitaji BBA 200 TCU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.