Watu wa humu wako critical kidogo. Bado muda unao wa kupambana then unaweza kuanza kwa kulipa nusu kwa muhula wa kwanza huku ukiendelea kujipanga. Kila la kheri tunakuombea
Ke washatulia walikua na kaupepo kao kipindi flani naona Me mmeamua kuwapokea. Naona mkigeuka kutizamana kila moja anamwona mwenzake kazeeka ukipiga hatua kwa Gen Z kuwamudu mmnaona kuna kaugumu flani. Poleni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.