Recent content by Stiffler88

  1. Stiffler88

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    hi Msaad kupata Nyimbo zifuatazo A to Z- Aveli Tunaendana- Warwil feat Pipi Haya we- Solo Thang feat Q chief style gani- wakali kwanza
  2. Stiffler88

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Last year mwishoni nlienda conference mambo ya Afya iliyofanyika moja ya nchi zilizopo kusin mwa Afrika ambayo ilikua na watu kama 5000 ambao wengi n kutoka nnchi za Afrika wana hudhuria, na mm nikiwa mmoja wapo. Katika hotel niliyofikia tulikua watu kama 50+ ivi ambao wote tunahuddhuria io...
  3. Stiffler88

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kuna workshop moja nlihudhuria jijini apa apa ambapo nimekuja kikazi kwa mda mm naishi mkoani. Sasa ile workshop facilitator walikua wawili Mwanaume 1 mwanamke 1 tumwite Q. Uyu dada alikua n mzuri jamani, sura, tako mwili, rangi, mguu kujua kuvaa na ana mwili mkubwa kiasi dizain mm napenda. Sasa...
  4. Stiffler88

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Pisi nyingi sana. Umefanya sawa n wala hujakosea sababu Kikubwa yy pia awe ameridhia kukupa asibakinna makasiriko moyoni
  5. Stiffler88

    Uzi wa vyakula tu

    Picnic Kitimoto_ Songea. Jamaa wanajua sana. Ipo Bombambili
  6. Stiffler88

    Uzi wa vyakula tu

  7. Stiffler88

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nipo kikazi mkoa XXX kwenye shirika moja lakin mradi unafanyika mikoa 2 ambayo yote naisimamia mim mwenyewe. Siku nipo home kuna ndugu yangu anasoma degree chuo uo mkoa mwingine akapost picha ya rafiki yake yeye anasoma diploma sio wanasoma nae anamuwish Happy birthday. Manz mkali saaana...
  8. Stiffler88

    Epuka kuoa Feminist

    Nmedate wasomi feminist PhD wenye hela zao na hawa diploma unao suggest. Mm pia n msomi saaanaa. Nachoweza kusema ni hiki - wasomi n wazuri sana kwenye mipango ya maisha na mkipanga hakika anataka mipango itimie. Apa naongelea kuongeza kipato, investment, kufanya biashara. Na apa lazma...
  9. Stiffler88

    Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

    Watu mmeandika sana kuwa miss ma ex na faulo za mahusiano zilizopo kwenye kumbukumbu. Naweza kusema yafuatayo 1. Kila relationship ni tofauti, kuwa compare watu uliowadate na kutaka kujua nani zaidi its a waste of time. Kila mtu unakutan nae kwa wakati tofauti na mwingine na mahitaj yako ya ki...
  10. Stiffler88

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mda mrefu toke nipost humu anyways, nmesoma soma visa visa humu nimeona ni share hii story imetokea miez 2 imepita. Nmeanza kaz mkoa xxxx hospital kubwa tu, mm sipo serikalini nipo taasis binafsi (NGO) ambapo natumia ofis na mratibu wa mkoa ambae n daktari with special focus kwenye hayo mambo...
  11. Stiffler88

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Salute, the finisher
  12. Stiffler88

    Je, Wanaume wanaogopa ku-date na Wanawake waliowazidi kipato?

    Speechless dahhhh🙌, dunia ina mengi ya kutufunza
  13. Stiffler88

    Je, Wanaume wanaogopa ku-date na Wanawake waliowazidi kipato?

    Ji assess kwa makini ili uone vipengele vyako ujirekebishe. Wengi wa wanawake wenye vipato hujifanyaga super woman wakati mwanaume ni kichwa cha familia. Hili ndo jibu sahihi kwenye hili umesema vema
  14. Stiffler88

    Je, Wanaume wanaogopa ku-date na Wanawake waliowazidi kipato?

    Yule ex girlfried Phd holder pale UDSM, alikua na gari + anaezeka nyumba by then we meet penz lilikua tam sana ila zile ego za kujikuta larger than life nikashindwa tukaachana. Arguments kidgo atawakaaaaa ka mwalim wa zam had anakua mwekundu af anazila zila tu akimind hali ilyopelekea kupata...
Back
Top Bottom