Recent content by stiba dance

  1. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA asilia mko wapi? Mbona Lowassa anaongozana na wageni wenzake tu?

    huu ndio udhaifu wa baadhi yetu wana cdm kwamba kukosoa ni chama ni dhambii..haingii akilini eti mkutano wa kampeni huoni jembe hata moja afu tuone iko sawa tuu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa Sikonge, Said Nkumba abwaga manyanga CCM na kujiunga CHADEMA

    amh mwenyekiti wa Tanzania kwanza aliyeongoza kuipinga ukawa leo hii kajiunga na ukawa??? haya ngoja tuone.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa Sikonge, Said Nkumba abwaga manyanga CCM na kujiunga CHADEMA

    amh mwenyekiti wa Tanzania kwanza aliyeongoza kuipinga ukawa leo hii kajiunga na ukawa??? haya ngoja tuone.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa abwaga manyanga!

    bandu bandu humaliza gogo..
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa atikisa Buguruni katika ofisi za CUF

    maskin prof lipumba amejivua nguo...arudi kushika chaki tu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mkopo wa riba nafuu?

    hata nami naitaji mkopo wa m3 na niko tayari kuweka dhamana ya kadi ya gari nielekezzi hapa dar nitapata wapi mkopo wenye masharti nafuu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Cybercrimes: Mfanyabiashara kizimbani kwa kuwasifia majambazi waliopora Sitakishari

    ukweli kijana mwwnzangu alifanya kosa,kwa namna yoyote ile hakupaswa kufurahia vifo vya askari waliokuwa wanatimiza wajabu wao,kama kunamadhaifu aliyoyaona kwenye jeshi la police lau angeadress pasipo kushabikia kitendo cha mauaji tena hadharani..
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kanusho: Aliyepigwa na Ndugai afariki dunia!

    hi habari ni imethibitishwa?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Ukweli utabaki kuwa ukweli,cdm na ukawa wamechanga karata vyema..
  10. S

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa azidi kuwasaliti na kusalitiwa na wapambe wake!

    hakika rafiki wa kweli ni mama yako mzazi tuu..jipe moyo ENl may be 2025 inshallah..
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Pamoja na tabia mbaya inayofanywa na askari police wengi, kupindisha haki kwa kitu pesa, lakini linapokuja swala la askari kuuawa linastikitisha na kufedhehesha. Jeshi la police nadhani sasa linapaswa kufanyiwa mageuzi upya, mzee Pombe, kama ukichukua madaraka, anza na kureform hili jeshi letu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa na wapambe wake watoweka Dodoma

    Kimbisa na sophia wamekuja mkutanoni..kaka nchimbi kagoma nafikiri yuko na kingunge wanatafakari wanarudi vipi kundini...
Back
Top Bottom