Recent content by Stevow12

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu leseni ya biashara ya mtandaoni (Online Business)

    Habari, Swali langu ni uhitaji wa kujua kama unataka kutengeneza online service yako mwenyewe hapa Tanzania kama ya Paypal, je unahitaji kupata leseni ya biashara ya aina gani na gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani. Mfano wale Nala Money wamefungua kampuni tu ya kawaida au kuna regulations...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Kuna Xiomi note 4 hapa kwa 360k
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Hamna mtu ana huo muda wa kuwafafanulia watu, xiaomi waje hapa wafanye matangazo yao then wakimaliza ndio watu waanze kuziuza sio mwenye duka ndio aanze kuzimarket simu za kampuni nyingine
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    So watu wanauza iphones, samsungs wakose mtaji wa oppo?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Ukiona hivyo ujue demand ya viwa na tecno ni kubwa kuliko hizo unazotaka wewe, watu wachache wanajua kuhusu hizo oppo, na MI devices, sasa unataka mtu akanunue mzigo ajaze duka awauzie watu watatu kutoka jamiiforums, hamna mtu anafanya ujinga huo
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Sio tamaa mzee ni DEMAND AND SUPPLY
  7. S

    JamiiForums Tanzania Fight Night: Anthony Joshua ampiga kwa points Joe Parker

    Haiwezekani, uzito tofauti
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Xiaomi Mi Mix 2s itakua balaa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Oppo A57 bei 410k Xiaomi Mi Note 4 bei 310k 0626872019
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Bado itakua cheap than Iphone X
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Kama vyuma vimekazi huwezi afford iphone X basi OPPO hawajakusahau
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tupeane fursa!

    Digesting
Back
Top Bottom