Recent content by StevMsuya

  1. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Kama kura zimeibiwa inamaana CDM Haifai kupewa hatamu yoyote maaana Hamna mbinu za kukamata au kuzuia wezi.. Mtatuuza
  2. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Zito anaweweseka tu.. Aende kushtaki kama wale wazee wa flash
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2015 CCM kumtumia Dr. Shika kwenye kampeni ni aibu kubwa!

    Bora utapeli wa Dr. Shika kuliko ule wa Mamvi alioucheza 2015 Mpaka Leo ni Mnec CDM
  4. S

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Humphrey Polepole

    Kumbe mnaVisasi Hivi.. Sasa Naanza kuelewa kwanini Rais Magufuli anawanyoosha
  5. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wajana si waleo CCM mjiandae kuondoka kwa amani ikulu

    Nani inn?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wajana si waleo CCM mjiandae kuondoka kwa amani ikulu

    Wanaonikimbia ni wale mafisadi kama Nyara Ndio..
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Lema na Lissu wangekuwa ni wanasiasa "cheap" wangeshanunuliwa hata kwa mabilioni

    Mbowe, Lema, Lissu ni lile tabaka linalonufaiika na Chama tofauti na wale wafia chama wanaoaminishwa ni makamanda alafu wanakufa njaa.. Ndio Maana wameanza kustuka na kuchomoka mmoja mmoja wawaachie chama wala chama
  8. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wajana si waleo CCM mjiandae kuondoka kwa amani ikulu

    CDM ni kama mkono na Fisi.. Unausubiria kwa kuamini ipo siku utadondoka ule.. Badala ya kufikiria kuchukua nchi.. Jengeni upinzani wa hoja sio kukurupuka.. Ndo Maana mnakimbiwa na wenzenu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya wanaomuunga mkono Rais ni feki?

    Ukiona hivyo ujue CCM inashinda 2020 Ila inataka kujazia kura za wapinzani wenye Nia njema na Tanzania yetu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Tanzania ni watu wasioleweka na wasioaminika

    Tanzania hakuna upinzani zaidi ya SIMBA NA YANGA
  11. S

    JamiiForums Tanzania CCM inaelekea kufa japo ukweli huu wengi wataukataa

    Hongera kushirikisha brain yako kwenye mambo yasiyo ya msingi
  12. S

    JamiiForums Tanzania NEC: Majimbo ya Longido na Singida Kaskazini yapo wazi

    Kwa uzoefu wangu mdogo CDM mnaongoza kuendekeza Ukabila nchini
  13. S

    JamiiForums Tanzania CCM inaelekea kufa japo ukweli huu wengi wataukataa

    Mnaweweseka Sana CDM.. Mkizubaa uchaguzi huu mdogo mtachapwa Mpaka na ACT WAZALENDO
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM inaelekea kufa japo ukweli huu wengi wataukataa

    Nyie Nyie mlisema Kinana kajiuzulu.. Sasa kaonekanaje Arusha.. TZ inasafari ndefu kupata fresh minded citizens
Back
Top Bottom