Recent content by stevhinoz

  1. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000

    Mpaka sasa mradi ushafeli kabla ya kuanza.
  2. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

    https://jobs.workinaustria.com/?lang=en
  3. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

    Tupieni CV na uku https://www.jobbank.gc.ca/accueil;jsessionid=FE38C221C4D89F2F0FB8174221C2AC2F.jobsearch74
  4. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    https://www.liverpool.ac.uk/study/postgraduate-research/studentships/
  5. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Nani anafahamu jinsi ya kusali Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anisaidie?

    Bahati mbaya mimi sikufanikiwa.
  6. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie bajeti ya chakula Tukio la hitma

    Asante sana mkuu. Mimi nipo Dsm ila shughuli tunafanyia Morogoro. Vipi wewe ni caterer maana upo deep sana?
  7. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie bajeti ya chakula Tukio la hitma

    Shukran mkuu, vipi kuhusu nyama ya ng'ombe na ndizi hesabu zake zimekaa vipi
  8. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie bajeti ya chakula Tukio la hitma

    Tunatarajia kufanya hitma. Makadirio ni watu 200. Nafikiria kuwa na vyakula vifuatavyo Pilau Nyama Ndizi Salad Tunda Maji Wazoefu wa matukio, bajeti yake hapa itakuwaje?
  9. stevhinoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT | Azam FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 09.05.2024

    Wakitoka sare leo Yanga atadaiwa points 2. So itakuwa bado mechi 1.
  10. stevhinoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

    Yanga akishinda atahitaji points 4 nyingine kutangaza ubingwa.
  11. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Commonwealth na Chevening Scholarships: Naomba USHAURI, Nilikosa lastly

    Condition letter inakuwa na masharti maybe ili upewe admission lazima u-submit IELTS certificate au uwe umelipa kiasi fulani cha ada au upeleke barua ya scholarship.. unconditional unatakiwa kulipia gharama za admission then wanakupa admission letter.
  12. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata jiwe la kaburi (Headstone) kwa bei nafuu hapa Dar?

    Ndio naomba maelekezo pa kuyapata?
  13. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata jiwe la kaburi (Headstone) kwa bei nafuu hapa Dar?

    Nashukia kituo gani cha daladala?
Back
Top Bottom