All in all hamna haja ya kumpiga mwanamke kiasi hicho.
Mmekutana mkiwa watu wazima kila mmoja akiwa na tabia zake,kwa hio kama mahusiano hayaendi kama ulivyo tarajia ni wewe kuondoka ukajaribishe na kwengine eti.
it shouldn't always have to work out,
To keep a man happy in a marriage ni vitu 3:
1. Nice food
2. Nice sex sessions
3. Nice sleep/ peace of mind
Sasa we mwanamke jiroge upunguze kwenye hio dose usije ukalalamikia matokeo yake.
naweza kusema kwamba hii hapa ndio trigger ya tatizo lako ndugu yangu, the tym u dropped out of school na marafiki zako kukuongelea vibaya ndio imekupelekea kupoteza hata ile self confidence ulio kuwa nayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.