MMEANZA KUTOKA POVU SASA , NYIE MLIFIKIRI BUNGE HALIMPI USHIRIKIANO RAIS, SERIKALI , BUNGE ,MAHAKAMA VINAFANYA KAZI PAMOJA , WATU MSIO NA DIRA NYIE , KELELE ZENU ZINATIA KICHEFU CHEFU , TANGIA RAIS AAPISHWE HADI LEO MNAWAZA MAWAZO HEWA ,FANYENI KAZI. ACHENI RAIS AINYOOSHE NCHI .