Kikweli vyuo vya binafsi kwa usafi wapo vzr sana mf Jordan University-Moro...Wafanyakazi wapo full time kufanya usafi kila baada ya masaa 3 au 4 kwa siku....
Wakongwe vp aisee? Jana nimefelisha chama shubamit zangu..Jirani amekuja magetoni kuangalia sinema zetu mpaka usiku mkubwa..,ile nataka kuanzisha kimasihara tu,,mtoto kawakaaaa na kuamua kusepaa,,,kafika kwake kajifanya kunitext sms ya kuomba msamaha..ipo siku yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.