Recent content by Steven Nguma

  1. Steven Nguma

    Je, 500,000 inatosha kuanzisha ufugaji wa mbuzi wa kienyeji?

    Niliwaagiza biharamulo ninao 15 sasa
  2. Steven Nguma

    Je, 500,000 inatosha kuanzisha ufugaji wa mbuzi wa kienyeji?

    Sijaanza kukumbana nayo ila naamini nitajaribu kuwauliza wenzangu amabao wamenitangulia ktk ufugaji nikipata taarifa nitaleta mrejesho kwenye Mbwa niliweza kukabiliana nayo pamoja yakuwa ilinigarimu sana ila nilipambana.
  3. Steven Nguma

    Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Hapana ndugu kutunza mbwa sio mchezo, kunawakati wakuwapa chakula maalumu kwaajili ya mahitaji maalumu, pia mbegu za Mbwa wengine wana inport kwa gharama kubwa na ukija kumtunza tena mapka azalishe ni gherama sana kwakweli nafuga naoana hiyo changamoto, inafika mahali hata ukimuuza mbwa sh 1.2...
  4. Steven Nguma

    Je, 500,000 inatosha kuanzisha ufugaji wa mbuzi wa kienyeji?

    Ndio na nimeshaanza kuwafuga mkuu
  5. Steven Nguma

    Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

    Wapo ndugu tukupatie mawasiliano?
  6. Steven Nguma

    Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Ninalo kubwa mkuu kama heka 9 nafikiri inatosha sana
  7. Steven Nguma

    Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Nashukuru sana kwa ushauri nikichinja utapata utumbo 😂 😂 😂 😂
  8. Steven Nguma

    Hivi kuna watu wamekata tamaa ya maisha kiasi hiki?

    kaaaaaaaaaa!!! 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️
  9. Steven Nguma

    CHINA: Tupo tayari kuisaidia Marekani kupambana na Corona

    Kweli kabisa tumlilie Mungu ktk Roho na kweli, hali ni maya sana jamani.
  10. Steven Nguma

    Bodies placed on roadside like Dirty ,Boxes used as Cofins as Deaths becomes Un imaginable...

    Mungu atunusuru na hili janga, nimeumia sana mwanadamu amefika mahala pagumu mno, ee Mungu sikia kilio chetu.
  11. Steven Nguma

    Je, unamfahamu mnyama anayeitwa Nyegere/Honey Badger? Mnyama mwenye wivu kupindukia

    Duh! ndugu tufafanulieni vyema wengi wetu hatujamwona huyo kiumbe.
  12. Steven Nguma

    Corona ilivyosababisha ununuzi mwingi wa Bunduki USA

    Nakubaliana na ww mkuu tena kubaya zaidi tuendako maana nguvu ya uma nafikiri itakuwa ya juu sana kwa tawala zilizopo hasa huko kwa wenzetu.
Back
Top Bottom