Ziwekwe hizo detail zote tuone kwanza hivyo vipande vya kuunga unga vimejaa kila mtu anavyo still bado kama ni ufisadi hauelekei kwamba pesa zote hizo zaidi ya bilioni 300 zilitafunwa na watu wachache na mbaya zaidi waliotajwa ukijumlisha pesa izo wanazoambiwa walilamba kwa waliotajwa kabisa...
Ni kweli ila pis Huku si kijijini sana lakini pia najua kibaha ama bagamoyo zipo sehemu bush sana hata huduma za shida sana.. mimi nakaa Tanga mjini asubui naingia job ni sawa na mtu anayekaa sinza kisha awe anafanya jazi mbezi mwisho ama kibamba. Ndio umbali wa kituo changu hadi katikati ya...
Mimi ni afisa mifugo wa kijiji cha mtimbwani wilaya ya Mkinga na kijiji kipo kilomita 18 kutoka jiji la Tanga na huduma kama umeme na maji vinapatikana na nauli kutoka jiji la Tanga ni 1000/- tu.
Kama upo wilaya ya kibaha, Bagamoyo ama wilaya yoyote ndani ya mkoa wa dar es salam na unapenda...
Mmmh sasa cha ajabu kipi hapa miaka kumi ni mingi sana katka kufanikiwa.. hata mitano tu ni mingi sana.. usjali si ajabu hata wewe siku unaweza lala ukaamka na fuko la hela..
Hapa tukitaka kuanza kuangalia sjui nani kafanya nini haisaidii lolote kama ni viti vya chumbani vya sebuleni mwisho wa siku nani anayefaidika?? Iwe wanagombania hayo mnayosema iwe kweli au iwe si kweli ni mambo binafsi ya ndani sisi yatatufaidia nini?? Bora tu kama wahusika wa ndani ya bunge...
Hapa lazima tuelewe kitu kimoja hawa wana bifu kubwa tena la zamani tu cha msingi waitwe na mamlaka husika iwe za bunge ama hata huko polisi waondoe tofauti zao waache kupigana vijembe ambavyo mwisho wa siku havitawasaidia lolote. Hawa ni viongozi tena vijana na bado wachanga walitakiwa kukomaa...
Ukawa walitakiwa kubaki bungeni na kupiga kura za hapana na kuyadhibiti hayo wakiwa bungeni dodoma ila mpo buguruni mtaishia kupiga makelele tu wenzenu wanafanya yao ila kama mngebaki kule mkaungana kwa ukawa wenu mkawepo palepale hayo mliyobwabwaja leo yasingefanikiwa sasa mnatangaza hayo ili...
Nafurahi kuona ukawa wamejizatiti kutaka kuandamana lakini nina hakika hilo litakua jibu sahihi juu ya uugwani mkoni wao na wananchi waliowengi na waliowachache na hii itamua fursa ya wabunge walipo bungeni kutengeneza katiba kupima na kutambua wananchi wapo upande gani nao wakajipanga.. ni...
Wabongo bwana wengi hatushughulishi akili zetu tunaendeshwa kama mazombie mtu yeyote anaweza akakurupuka na kuanduka pumba bila kutafakari bila ushahidi watu wanakurupuka na kusapoti izo pumba, nlitegemea kuona watu tunaanza kuhoji amepata wapi na una ushahidi gani. kias icho cha pesa lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.