Recent content by steven mdoe

  1. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza kwa Dr. Mwaka

    Kwann amshtukize? Si angempa taarifa kuwa nakuja ofisin kwako nina mambo nataka kujua kuhusu utaendaji kazi wako
  2. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

    Hivi kuuliza kuhusu mkuu wa majeshi ni dhambi? Aaah acheni ubabe zaid toeni majibu yanayoeleweka na Co kutishina
  3. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania UKAWA waingia hasara kubwa Harambee Mlimani City!

    Mimi nimechangia kwa simu japo sikuwepo na si mimi tu bali na jopo langu lote
  4. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwanahalisi limepata hasara ya shilingi Bilioni 6

    Dah! Yaan asante sn umenisaidia kunijibia maana nilikuwa nafkria jibu gani nimpe
  5. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu Ulutheri na Urais - Lowassa

    Kuna mgombea au raisi hana dini? Wa ache polojo zao zisizo na msingi kwa taifa letu
  6. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Mikakati dhidi ya Dr. Slaa: UKAWA mnaona hii ni sawa?

    Alikuwa na uwezo wa kujenga hoja kwa kuwa alikuwa upande wa mabadiliko ila kwa sasa hivi hana tofauti na Nape, mrema, cheyo na wengine wengi. .Kwa sasa kavaa nuks tupu kapoteza mwelekeo
  7. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha kujenga frame za maduka au kama kuna frame zinauzwa

    Tuwasiliane maeneo yapo mengi tu hapa mjini kampuni yetu iitwayo:- Dovillen property Kwa maelezo zaidi weka cm yako hapa au tu chek kwa no hii 0715060183
  8. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari kwa matumizi ya kutembelea (Namba C)

    Iko passo ya mwaka 2005 bei 8ml kama uko unaweza kuipenda niweke picha hapa?
  9. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea ubunge Iringa Mjini, Chiku Abwao

    Duh! Hatari
  10. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni Jimbo la Arusha Mjini kupitia CHADEMA

    Hujaeleweka
  11. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni Jimbo la Arusha Mjini kupitia CHADEMA

    Sio mor tu na tanga pia
  12. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Ipi ilani bora Kati ya CCM na UKAWA

    Ngoja waje wakuambie
  13. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo - Agosti 30, 2015

    Tutaona mengi
  14. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Mada moto live on Channel Ten: Yaliyojiri mwisho wa wiki kuelekea uchaguzi mkuu

    Ccm wamekinunua hicho kipindi na kumkabidhi pole pole awatetee
  15. steven mdoe

    JamiiForums Tanzania Toa Tathmini Yako ya Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

    Na sidhani hata kama wanajua kuwa watu wengine kutokana na imani zao swala la mzk na baikoko hairuhusiwi !!!! Oky ngoja tuone
Back
Top Bottom