Recent content by Steven Mamba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali za Kiafrika zinaogopa Maandamano ?

    Upinzani hawana nyodo ya kummaliza mtu kisiasa waache waandamane ndio watazidi kuonekana wamechoka
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali za Kiafrika zinaogopa Maandamano ?

    Kwanini serikali ya Magufuli inaogopa maandamano ? Nchi kuruhusu maandamano, uhuru wa habari nk ni ishara hiyo nchi imekomaa kidemokrasia. Kwanini tuna rudi nyuma ? Watanzania washamkubali sana Magufuli, kila siku wanampongeza na kumsifia kwa kazi nzuri anayoifanya. Watanzania wengi waliowapigia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Hakuna aliekurupuka issue si uhalali issue ni kununua matani na matani ya sukari na kuyaficha ili kusababisha mfumuko wa bei
  4. S

    JamiiForums Tanzania TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Wewe kweli umelosti shida sio sukari imeingizwa kihalali shida ni watu wachache wameamua kukumbatia sukari ya nchi nzima ili bei zipande.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hongera mzee Bakhresaa, kijana Mohamed Dewji na mzee Mengi kwa Uzalendo

    Msema ukweli ni mpenzi wa mungu. Asante mkuu kwa hoja yako
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la kukataa mwaliko wa Uingereza na kwenda Uganda, Rais sikuungi mkono

    Kama ni rushwa tutaikomesha sisi wenyewe sio mikutano isiyo na tija. Kwanza hawa waingereza ndio wanawezesha rushwa Afrika
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimetishwa, kushitushwa na kuogopeshwa na kauli hii ya Rais Magufuli. Alimaanisha nini?

    Wanacheza na maisha yao nilivyomuelewa ana uwezo wa kuwanyanganya vibali vya kufanya biashara akawaharibia maisha yao. Ukiacha sukari hao kina Bahresa na Dewji wanamadhambi mengi sana watu kama kina Magufuli wanayajua. Akitaka kuwafanyizia ana uwezo huo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wafanyabiashara wakubwa wa sukari nchini

    Kuna watu wamelogwa
  9. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Kuna watu walidhani nitashirikiana na majizi, wamekwama

    Kazi na Dawa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Magufuli amsimamisha kazi aliyekuwa Mkurugenzi wa Mji wa Babati Ndugu Omari Mkombole

    Kama Dewji anamiliki heka 43,000 na nyingi ziko hiyo mitaa wacha wananchi wawe wakali kidogo
  11. S

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maelezo ya prof. Tibaijuka kwa waandishi wa habari

    Haka kama sikapendi mmmmm Kaizi kanakiburi. Hizi sheria zinazoruhusu watu waliojihusisha kwenye ufisadi kugombania ubunge ni ulimbukeni
  12. S

    JamiiForums Tanzania Madereva wa malori Kenya wagoma, wataka madereva wanaotoka Tanzania waondoke

    Na Wakenya Tanzania waondoke. Wanatuletea majambazi na biashara zao zakutuletea mikate kutoka Kenya hatutaki
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG inaonesha kuwa, Halmashauri 3 za CHADEMA zimepata Hati chafu

    Tanzania upinzani hakuna. Hichi chama ni maigizo bungeni hawana sera hawana solution ya kitu chochote. Majimboni kwao maendeleo hakuna. Mwenyekiti wao ni dikteta chama hakina demokrasia. Bora hata CCM kunakukosoana Chadema ukileta nyodo unafukuzwa. Kweli tunahitaji damu mpya upinzani kwa sababu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ripoti zote za CAG, siuoni ufisadi wa Lowassa

    Hapo umenena bossi
  15. S

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kingilio Daraja la Nyerere zipigwe rangi za Taifa badala ya njano na nyekundu

    Wadau mnaonaje pale kwa kuingilia daraja la Nyerere papigwe rangi za taifa au kati kati ipandishwe bendera kubwa ya Taifa ? Ni kitu naona sana kwenye madaraja makubwa Marekani kuonyesha utaifa na uzalendo wao na ni kitu cha kujivunia. Naomba maoni yenu
Back
Top Bottom