Steven Mamba
Member
- Feb 14, 2015
- 39
- 15
Wadau mnaonaje pale kwa kuingilia daraja la Nyerere papigwe rangi za taifa au kati kati ipandishwe bendera kubwa ya Taifa ? Ni kitu naona sana kwenye madaraja makubwa Marekani kuonyesha utaifa na uzalendo wao na ni kitu cha kujivunia. Naomba maoni yenu