Haya ndiyo maelezo ya prof. Tibaijuka kwa waandishi wa habari

THE DONN

Senior Member
Aug 13, 2014
112
16
Tumuunge mkono prof. Anna tibaijuka kwa kuendelea kumuunga mkono mh. Rais wetu dr. John Joseph Magufuli.
Aliepost jamii forum ametupotosha kwan mh.prof. anna tibaijuka hakusema kama jamii forum alvosema.
IMG-20160426-WA0011.jpg
IMG-20160426-WA0016.jpg

Jamii Forum wamepost uongo. Ni watu waliolipwa kunichafua na kunigonganisha na viongozi wakati wa kampeni. Watashindwa tu na UKWELI.

Rais Magufuli ni kiongozi imara na mkweli. Haendeshwi na propaganda za watu wanaolipwa na mafisadi halisi kuchafua majina ya innocent people. Kuwagonganisha na watu wenye mamlaka. Enzi hizo taifa hili tunaziacha nyuma. Tunaingia kwenye enzi mpya za ukweli. Mimi binafsi ninamuunga mkono Rais 100% katika jitihada zake kuondoa uozo nchini. Hakuna nili

chosema kinachomkosoa wala kutofautiana naye. Wabaya wangu watabaki kuhangaika maana mbinu zao dhidi yangu zilishashindwa. Niko Bungeni. Hawakutegemea. Sasa wapo Jamii Forum wanapotosha ukweli mweupe hawajui teknologia inampa kila mtu nafasi kusambaza habari za kweli. All the best. Mama T.

Kwa Maelezo haya ya mama yetu ambae tunamjua kuwa anamsapoti vzr sn mh.Rais wetu Mh. Dr. John Joseph Magufuli.

Jaman tuache uchonganishi tumuogope mungu. Mama Prof. Anna Tibaijuka anaisapot serekali iliyopo madarakani na nyie waandishi wa habari hasa clouds muache uzezeta wa kumchonganisha mama na kaka yake My. Rais Dr. John magufuli na inabidi aendelee kutumbua majipu hadi walie komasai uuuuwwi
 
Mkuu Magufuli haendeshi nchi au kumtumbua mtu kwa kuokota habari kwenye mitandao, magazeti na Vyombo vingine vya habari. Rais anaendesha nchi kwa data anazopewa na intelijensia yake.

Mama Tibaijuka kaa kimya mamangu, subiria vijana wa Magu wapo kazini, worse enough wanafukunyua uozo wote hata ule wa miaka ya Jk, kama ulifanya madudu pale Ardhi subiria bench za kisutu, kama ulifanya mema usiogope wewe endelea kutafuna mabilioni uliopewa bure na Rugemarila.
 
Ukweli siku zote hushinda uongo hivyo profesa anatakiwa kuwa na amani moyoni mwake kama ana makandokando atakuwa salama tu
 
Watu wa CCM tatizo lao ni kutaka hofu zao ndiyo ziwe hofu za watanzania wote. kwani siyo kweli kwamba Mafisadi halisi hawajaguswa? Kutumbua jipu bila ya kulikamua ni kupoteza muda na kunukishana usaha bila ya sababu!!
 
Mm na muhongo ni majembe ya jk:mama tibaijuka.wanasiasa buana
 
Mpeni hata "like" moja jamani. Kajipinda kweli kumtetea mama.... Sijui nae kapewa...... na nani?
 
Tumuunge mkono prof. Anna tibaijuka kwa kuendelea kumuunga mkono mh. Rais wetu dr. John Joseph Magufuli.
Aliepost jamii forum ametupotosha kwan mh.prof. anna tibaijuka hakusema kama jamii forum alvosema. View attachment 343869View attachment 343868

Jamii Forum wamepost uongo. Ni watu waliolipwa kunichafua na kunigonganisha na viongozi wakati wa kampeni. Watashindwa tu na UKWELI.

Rais Magufuli ni kiongozi imara na mkweli. Haendeshwi na propaganda za watu wanaolipwa na mafisadi halisi kuchafua majina ya innocent people. Kuwagonganisha na watu wenye mamlaka. Enzi hizo taifa hili tunaziacha nyuma. Tunaingia kwenye enzi mpya za ukweli. Mimi binafsi ninamuunga mkono Rais 100% katika jitihada zake kuondoa uozo nchini. Hakuna nili

chosema kinachomkosoa wala kutofautiana naye. Wabaya wangu watabaki kuhangaika maana mbinu zao dhidi yangu zilishashindwa. Niko Bungeni. Hawakutegemea. Sasa wapo Jamii Forum wanapotosha ukweli mweupe hawajui teknologia inampa kila mtu nafasi kusambaza habari za kweli. All the best. Mama T.

Kwa Maelezo haya ya mama yetu ambae tunamjua kuwa anamsapoti vzr sn mh.Rais wetu Mh. Dr. John Joseph Magufuli.

Jaman tuache uchonganishi tumuogope mungu. Mama Prof. Anna Tibaijuka anaisapot serekali iliyopo madarakani na nyie waandishi wa habari hasa clouds muache uzezeta wa kumchonganisha mama na kaka yake My. Rais Dr. John magufuli na inabidi aendelee kutumbua majipu hadi walie komasai uuuuwwi
Haka kama sikapendi mmmmm Kaizi kanakiburi. Hizi sheria zinazoruhusu watu waliojihusisha kwenye ufisadi kugombania ubunge ni ulimbukeni
 
Ila profesa kuongea hivi haipendezi! Uprofesa unakuja na mategemeo mengi sana!
Ila nimekuelewa mama, wabaya wako watadunda.
 
Yaani ukishakuwa CCM Mwanasiasa akili zoooooote unatia mfukoni,sasa Mama anachokanusha nin nini?mbona hii video inamuonyesha anasema kabisa kuwa Rais aiishie kutumbua vinyama atumbue majipu?Huu unafiki mpaka lini??Hawa Maprofesa walienda shule kufanyaje?Wakakae huko madarasani kufundisha huku kwenye siasa wanajishushia tu heshima
 
Hao ni vijana walumumba wapo kazini, huoni hata hiyo habari inamapungufu, muulize source ya habari yake kaipata wapi?
 
Baadhi ya watanzania wasiomtakia mema mama yetu Prof. Anna Tibaijuka washindwe na waregee na waanguke kifo cha mende. Wasimchunganishe na mh. Rais wetu kwa kuendelea kutumwa na watu ambao wanamaono has na mama yetu.
Jamii Forum wamepost uongo. Ni watu waliolipwa kunichafua na kunigonganisha na viongozi wakati wa kampeni. Watashindwa tu na UKWELI. Rais Magufuli ni kiongozi imara na mkweli. Haendeshwi na propaganda za watu wanaolipwa na mafisadi halisi kuchafua majina ya innocent people. Kuwagonganisha na watu wenye mamlaka. Enzi hizo taifa hili tunaziacha nyuma. Tunaingia kwenye enzi mpya za ukweli. Mimi binafsi ninamuunga mkono Rais 100% katika jitihada zake kuondoa uozo nchini. Hakuna nilichosema kinachomkosoa wala kutofautiana naye. Wabaya wangu watabaki kuhangaika maana mbinu zao dhidi yangu zilishashindwa. Niko Bungeni. Hawakutegemea. Sasa wapo Jamii Forum wanapotosha ukweli mweupe hawajui teknologia inampa kila mtu nafasi kusambaza habari za kweli. All the best. Mama T
 
Attachments

  • IMG-20160426-WA0018.jpg
    IMG-20160426-WA0018.jpg
    57 KB · Views: 38
  • IMG-20160426-WA0011.jpg
    IMG-20160426-WA0011.jpg
    27.2 KB · Views: 32
  • IMG-20160426-WA0016.jpg
    IMG-20160426-WA0016.jpg
    40.9 KB · Views: 33

Back
Top Bottom