Recent content by stevemsb

  1. stevemsb

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu aliwahi kubakwa akiwa binti Leo ananieleza hajawahi kuwa na hisia ya mapenzi maisha yake Yote naombeni ushauri

    Huyo mwanamke hana hisia na wewe ukute hata watoto sio wako
  2. stevemsb

    JamiiForums Tanzania Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto

    O ongea na wanao wa kike pia wanatuachaga vibaya sana tena kwa dharau mbaya sana kama vile wewe hutakuja kushika pesa tena
  3. stevemsb

    JamiiForums Tanzania Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

    Kilimo kina internal factor na external factor. Nenda kasome usitake nikuelezee hapa
  4. stevemsb

    JamiiForums Tanzania Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

    Katika mradi wa kisenge nchi hii ule ulikuwa wa kwanza bora hata wanaoiba kwa kujenga mabarabara na majumba ule mradi ulikuwa hauwekan hata kinadharia
  5. stevemsb

    JamiiForums Tanzania Vijana Tuzitunze Afya Zetu Maana Ndiyo Mtaji Wetu , Nimejawa Na Msongo Wa Mawazo Mwenzenu

    Ujue Huna tatizo kule unaenda kufanya confirmatory tu ila sidhan kama vinaweza kuwa tofauti na huko ulikopima mwanzo
  6. stevemsb

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu yupo kidato Cha 3 lakini hata dirishani hafiki; atarefuka kweli au ndo basi?

    Kadumaa tafuta lishe ya moss umpe
  7. stevemsb

    JamiiForums Tanzania Vijana Tuzitunze Afya Zetu Maana Ndiyo Mtaji Wetu , Nimejawa Na Msongo Wa Mawazo Mwenzenu

    Hapana vipimp hivyo mara nying vipo hospital za kanda
  8. stevemsb

    JamiiForums Tanzania Vijana Tuzitunze Afya Zetu Maana Ndiyo Mtaji Wetu , Nimejawa Na Msongo Wa Mawazo Mwenzenu

    Kapime blood test bugando afu usipende kuamini maneno ya watu sana ila pia usiyadharau.
  9. stevemsb

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuna nyoka anawika kama jogoo

    Koboko aliyekomaa anawika kaa maeneo ya tabora ndo utaelewa
  10. stevemsb

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha ya Uwanja wa mpira wa Miguu uliofurika watu wengi ni picha halisi

    N Ngumu kujua
  11. stevemsb

    JamiiForums Tanzania Aibu, licha ya Tanzania kuwa ya pili Afrika Kwa Ng'ombe Wengi Ila Tunaagiza Maziwa Kutoka Nje

    Kuna bidhaa kama biscuit juices wanatumia mazima na hao wanahitaji kwa bulk
Back
Top Bottom