Recent content by stevelwa

  1. stevelwa

    Anayejua faida na hasara ya kuwa Wakala wa Tigopesa, M-pesa na Airtel Money

    Kubwa ninayoijua mimi kupata namba na majina ya mademu kiurahisi sana coz unamtaka kitambulisho na namba yake.
  2. stevelwa

    Bungeni; kikwete akwepa kuzungumza utekelezaji wa ilani kama ilivyo ada, azungumza juu ya eac.

    kwani ni kikao cha chama au bunge la tanzania hilo, mkuu usipende kukariri mambo!
  3. stevelwa

    Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

    wakristo ni waungwa mbona tukitaka kulipa kisas tungeuwa hawa omba omba wote, sisi tuna pgana vita vya kiroho sio damu na nyama ila makubwa yatawapata hawa.
  4. stevelwa

    Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

    Hizi ni zile fuasi za bwana ponda thus why kule kambini tunamlaumu jamaa aliekikosa kichwa kile akapiga bega yote haya wala msingeskia nakwambieni. polen waungwana na waumini wa hapo segerea.
  5. stevelwa

    Front Page ya Gazeti la Uwazi

    shigongo ni mnaa na mnafiki kwani hamumfahamu?
  6. stevelwa

    Yamenikuta huku mtu mzima

    Jamiif ni bingwa wa kupenda na nikipenda huwa napenda kweli, thus why alivyonitenda hayo hasira imekuwa kubwa, kiukweli it woz mou zan serious relation, a hayo nlipanga april nikichukua leave nitie timu kwao, lakin nimekuelewa sana mpendwa na hakika nitayafanyia kazi ingawa kwa namna fulani nina...
  7. stevelwa

    Yamenikuta huku mtu mzima

    Thanx mkuu nashukuru sana, na kuna vitu hapa umenigusia nmevisoma hata kwenye kitabu cha steve mackay cha sweet love in a new college. ntaufanyia kaz ushauri ingawa nilianza tayari ila nmekusoma mkuu.
  8. stevelwa

    Yamenikuta huku mtu mzima

    Kwa hali ilivyo hadi leo inasababisha nimsamehe sema sasa shda namimi nimekuwa macho juu kweli sasa kuweka wa mbadala coz nilikuwa ssina hofu nilimuamini sana,
  9. stevelwa

    Yamenikuta huku mtu mzima

    Thanx mkuu hii nimeifanyia kazi na kiana amejuitia sana, sasa sjui huko mbeleni.
  10. stevelwa

    Yamenikuta huku mtu mzima

    Lakin kugegedewa inauma sana usiombe yakukute. thanx hilo nalo neno kdogo linapunguza machungu.
  11. stevelwa

    Yamenikuta huku mtu mzima

    Be open king'ast kuna mambo matatu niliomba mnisaidie kuamua bnafsi nashindwa, usiwe ufeminist basi.
  12. stevelwa

    Yamenikuta huku mtu mzima

    Yaa sio wife ila woz half wife coz kulikuwa na mipango ya kuanza kufanikisha awe wife kabisa, pia nina assets nae mbili tatu hivi, kiukweli nna hali flan ya kumtenda kisasi coz nilimuamini sana, namimi ndio niliemtoa usichana wake, bifoo tukio hili ni mwema sana alikuwa. kuhusu rafk zake i noted...
  13. stevelwa

    Yamenikuta huku mtu mzima

    Wadau mtu mzima yamenikuta, kuna wifi yenu na shemu wenu nilikuwa na bifu nae kidogo na ye ndio mkosaji, sasa baada ya wiki kuja kum'bamba na kuhold sim yake nmekuta anachat na mshkaji, ila hawajadoo coz jamaa yupo nje ya mji wetu na pia ingawa tuna bifu ila shori huyu hakusafiri day zote...
  14. stevelwa

    nok nok

    Karibu na ujiskie upo nyumban mtoto mzuri, hiki ni chuo cha ustaarabu na elimu adhimu, hujakosea tafaadhali karibu sana.
  15. stevelwa

    Nshakaribia bila ya kukarbsha

    "Nshakaribia bila ya kukarbsha" Hata kama we ni mgeni hapo ulimaanisha nini? ugeni na buti jaman
Back
Top Bottom