Recent content by Stevejita

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu,uzembe hadi kwenye mitihani ya kitaifa?

    Wameanza saa 10:20 na kwa taarifa nilizozipata kuna shule inaitwa Tusiime iko Tabata wao wameanza saa 11(tano)hatari tupu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu,uzembe hadi kwenye mitihani ya kitaifa?

    Nahisi anakuwa navyo ofisini kwake,maana hadi sasa saa 9:15 hakieleweki kitu na wanafunzi wameamua kutoka madarasani,hebu wapigieni waandishi wa habari waje hapa maana hii ni habari tosha kabisa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu,uzembe hadi kwenye mitihani ya kitaifa?

    Niko shule ya msingi Magoza iko huku kisukulu kwa ajili ya kusimamia mtihani wa darasa la saba,mpaka muda huu watoto bado hawajaanza kufanya mtihani,wameleta mtihani lkn karatasi za kujibia hazipo yaani hakieleweki kitu na wanafunzi wamekaa darasani muda mrefu wanasubiri hadi wamekata...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Kaseja ni ugolikipa tu?

    Hebu tujuze huo utajiri alio nao ili nasi tujue maana hujabainisha tutaamini vp kama kweli ni tajiri? Hebu tiririka!!!
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya PF 3.

    Umejibu vyema ila sio daktari tu anayejaza isipokuwa hiyo fomu hujazwa kwanza na polisi akieleza kilichotokea kwa mgonjwa/majeruhi maana ikienda plain daktari hawezi kukuelewa,
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe azaa ndama mwenye kichwa cha binadamu

    "mchungaji?" fafanua
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya 'Notification' ya Traffic Ikoje?

    Kwa uelewa wangu mdogo kama hela unayo unalipa hapohapo na ikiwa ni ndani ya muda wa serikali kwa maana ya uwepo wa wahasibu ofisini unatakiwa upewe na risti kama muda wa wahasibu kuwepo ofisini umeisha basi utachukua risti siku nyingne na ww utaondoka na ile karatasi ya notification kama ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Aliyetaka kumuua Ponda !

    We una chuki binafsi na huyo askari uliyemtaja,weka ushaidi jamvini sio unakurupuka tu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Aliyetaka kumuua Ponda !

    We una chuki binafsi na huyo askari uliyemtaja,weka ushaidi jamvini sio unakuru
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Arusha: Mtutu katikati ya mapaja ni unyama

    watanzania wenzangu wapenda haki,jambo la mhimu hapa ni kuwapiga chini ccm,tukiwapiga chini huenda hawa askari wachache wanaotii amri za kijinga watakoma,tujaribu vyama vingine tuone watafanya nini,kuna baadhi ya askari hawapendi kabisa mambo haya yanayofanywa na ccm tena wanatamani sana ccm...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Angalia Picha MAJAMBAZI 3 WAKAMATWA NA POLISI BARABARA YA MANDELA BAADA YA KUIBA PESA

    We kinachokusumbua ni wivu tena wa kijinga na roho mbaya,pole kwako na maisha yanasonga mbele
  12. S

    JamiiForums Tanzania Eti jeneza la huyu linafunguliwa kwa rimoti

    Heri wafu wafao ktk Bwana tangu sasa wapate kupumzika maana matendo yao yafuatana nao,HAYO YA UGAIDI NA USHOGA MNAYAJUA WENYEWE
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mashuhuda walonga: Askari Aliyempiga risasi Ponda wanamfahamu kwa jina na sura

    Hayo ni majungu,ikiwa anafahamika atajwe ili kurahisisha kazi,kipi kinachowazuia kumtaja mtu ikiwa wanamfahamu....tumeshawachoka maana kula siku ni nyie tu utadhani mko peke yenu Tanzania,mbona upande wa pili hawasikiki?au nyie WAIS... ndo mnaijua sana dini?
  14. S

    JamiiForums Tanzania askari wasio traffic ni halali kuuliza leseni

    Wanafanya kazi yoyote inayohusiana na law enforcement,sio kazi hizo za mafuvu au kubambikia watu kesi
  15. S

    JamiiForums Tanzania Risasi zarindima TABATA UWANJA WA TWIGA Majambazi yaua Mfanyabiashara...!!!!!

    Utakufa na chuki zako za kijinga dhidi ya polisi,hebu fikiria siku moja tu polisi watoweke Tanzania itakuwaje? Hizo benki kazi zitafanyikaje?LA MUHIMU WASHAWISHI NDG ZAKO WALIOKO HUKO VIJIJINI 2015 WASIIPIGIE KURA CCM TENA WAAMBIE NYERERE HAYUPO TENA MAANA WAO WANAJUA NDIYE RAIS HADI LEO
Back
Top Bottom