Recent content by steve_shemej

  1. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wanaosimama karibu na kituo cha mafuta cha lake Oil Mabibo wanaumiza Wananchi

    Soma tena usijibu kwa mihemko
  2. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wanaosimama karibu na kituo cha mafuta cha lake Oil Mabibo wanaumiza Wananchi

    Huenda sijui jeshi la polisi linafahamu au laah Pale Mabibo kwenye kituo Cha mafuta CHA lake oil pembeni Kuna sehem ya kusimama trafikinwa polisi WA KAWAIDA kituo kimegeuka sehem ya kuwa uliza raia Kwakuwa pale kunakuwa na foleni gari na pikipiki Huwa zinapita polepole askari wakishirikiana na...
  3. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania HUU MFUMUKO WA BEI KWENYE REAL ASTATE TANZANIA SERIKALI INAONA AU HAIONI..

    Huenda Mimi tu ndyo nimegundua hili..? Tanzania kumekuwa na mfumuko Mkubwa wa bei kwenye nyumba na viwanja Kumekuwa na mfumuko uliopelekea bei za nyumba kununua na kuuza kuwa kubwa kuliko uhalisia Sasa ni kawaida kuambiwa kiwanja mbeni kinauzwa milioni 900 ambayo kiuhalisia haiendani na bei na...
  4. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Msaada hospitali yenye gharama nafuu kupima ubora wa mbegu za kiume

    Binafsi nna mtoto na mwanamke mwingine ila kwa Sasa naishi na mwanamke mwingine tunapitia ugumu kupata ujauzito Sitaki kumlaum mwenzangu natamani nipate hospitali yenye gharama nafuu Dar es Salaam nipike huenda nikawa tatizo ni Mimi Anayefahamu anisaidie
  5. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama

    Kila mtu atafikiwa kwa muda wake
  6. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama

    Muamala huu na uneruri na mm nilikuw naskia tu kwa watu ila Jana imenikuta
  7. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama

    Huenda bado hufanyi biashara
  8. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama

    Unarudishwa na hawatoi taarifa
  9. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama

    Nimeona hii niilete kwenu Kama unajijua wew ni mfanyabiashara unapokea malipo kupitia lipa namba ya VODACOM haupo sehem salama Mm Leo nimepata mteja kutoka Moshi kanipa oda kalipia 60000 nikamfungia mzigo kamtuma mtu kuja kuuchukua baada ya kuuchukua karidisha muamala Voda hawajanipa taarifa...
  10. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Waliochochea vurugu washughulikiwe

    Kwann tusianze na watekaji? Au wew unaonaje tutaanzaje kula kiporo Cha Leo tuache Cha juzi?
  11. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu anaeweza kutengeneza android app kwaajili ya delivery

    Mm ni muhanga wa kumshirikush mtu idea kisha kukuta kaifanya nimesema nahitj developer sijasemanahitaji mshirikaningehjgj mshiriki ningekuja na wazo ili atakarvutiwa tuungane mm tayari nina idea tyari nakuna angle nimeon haijaguswa bado hasa kwa hapa nchini Nishirikishe idea kesho niikute...
Back
Top Bottom