Recent content by steve111

  1. steve111

    JamiiForums Tanzania An accounts specialist ready to work

    Mtoa Uzi unazingua sana aisee!!! Tumekubaliana kuja Mbeya lakini Umekuja kwa kudanganya coz umekuwa ukipigiwa simu lakini unaongopa kwa kusema nipo Njiani lakini si kweli Sasa Umekuja siku inayofuata lakini boss wangu akasamehe tumeongea vizuri kwamba uanze kazi siku inayofuata lakini hukuja...
  2. steve111

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu

    Habari wakuu, Nimeona huu Uzi nimekumbuka mbali sana kwa sababu nilikuwa naandika nikiwa Ghetto sieleweki kabisa!! Watafutaji msikate Tamaa endeleeni kupambana Lakini natafuta Mwasibu saizi. Please share your CV Now and will connect
  3. steve111

    JamiiForums Tanzania An accounts specialist ready to work

    Boss Nitafute kwa Namba hii 0758975807 tuongee
  4. steve111

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya kufanya

    Nitumie CV yako kwa Namba hii!! 0758975807 What'sap
  5. steve111

    JamiiForums Tanzania Urgently Sales people Needed (Mbeya, Mtwara and Arusha)

    Habarini Wakuu, Urgently Sales people Needed as specified Location above, Please forwards your CV to mkisidamalizi@gmail.com before 8/05/2021 . Please specify your currently location on your Mail. Company; Keeway Motor Tanzania Ltd. Location; Mbeya, Mtwara and Arusha. Position: Sales Personal
  6. steve111

    JamiiForums Tanzania Sales Vacancy Mbeya

    Changamka...!!!
  7. steve111

    JamiiForums Tanzania Urgently namuhitaji mtu anayeweza kuandika "Bussiness Plan" tufanyenae kazi

    Wanajamvi Nashukuru sana Kwa Ushirikiano Wenu!! teyar Nimepata Mtu na Kazi Imeanza...
  8. steve111

    JamiiForums Tanzania Urgently namuhitaji mtu anayeweza kuandika "Bussiness Plan" tufanyenae kazi

    Yeah si unajua Boss unapopata Fusra lazima Uchangamke...
  9. steve111

    JamiiForums Tanzania Urgently namuhitaji mtu anayeweza kuandika "Bussiness Plan" tufanyenae kazi

    Boss kwan Ukiwa Seriously unakuaje? Inawezekana Nimekwama....
  10. steve111

    JamiiForums Tanzania Urgently namuhitaji mtu anayeweza kuandika "Bussiness Plan" tufanyenae kazi

    Habari ya Kazi Wakuu, Naitwa X ninaishi Kilimanjaro, Nilikuwa nataka Mtu ambaye anaweza Kuandika Vizuri Business Plan ya Biashara ya Mchele Kuanzia Kununua kwa Wakulima mpaka kuuza kwa Package kwa Wanunuzi zikiwemo Gharama Mpaka Faida. Mzungu anaitaji aweke Capital tafadhari kwa Mtu ambaye...
  11. steve111

    JamiiForums Tanzania Urgently namuitaji huyu mtu tufanyenae kazi

    Habari ya Kazi Wakuu. Naitwa X ninaishi Kilimanjaro, Nilikuwa nataka Mtu ambaye anaweza Kuandika Vizuri Business Plan ya Biashara ya Mchele Kuanzaia Kununua kwa Wakulima mpaka kuuza kwa Package kwa Wanunuzi zikiwemo Gharama Mpaka Faida. Mzungu anaitaji aweke Capital tafadhari kwa Mtu ambaye...
  12. steve111

    JamiiForums Tanzania Ni umri gani ukifika kutoboa ndiyo mwisho?

    Aaah!! Inategemea Viwanja vipo wap boss?
  13. steve111

    JamiiForums Tanzania NMB job several position wameanza kutuma email

    Yeah well said Mkuu...
  14. steve111

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mambo vip wakuu? Sumsung Galaxy A8 inauzwa Price: 250,000/= Storage: 16GB Condition: Excellent condition with No scratch Android Version: 5.1.1 Location: Tabata Segerea(DSM) Contact: 0682823028
Back
Top Bottom