Recent content by Stephen Mwingira

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wa Kagera kwanini mkoa wenu unaongoza kwa umasikini?

    Hawafanyi kazi, ni matokeo tu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Familia tupeni utaratibu wa kumchangia Tundu Lissu

    Yaani wewe ni hasara afadhari kinyesi kina rutuba.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amenilazimisha nitoke nae na amefanikiwa

    You are the stupidiest person in the world
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kwa yanayotokea Marekani

    Stupid, we dont have anything other people to lrarn from us.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Fatma Karume wanaunga mkono tamko la EU na wameshiriki kulisambaza

    Acheni uongo EU wamesema wafungwa wa kisisa waachiwe huru, waendelee na kukiimarisha chama chao, Kuwe na uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. (haki za binadamu ziheshimiwe kwa ujumla).
  6. S

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

    Wewe huna akili, mwenyekiti wa kwanza wa CCM alikaa madarakani miaka mingapi, ina maana hakuna demokrasia huko? na Chadema kama amechaguliwa, we unataka demokrasia gani tena, jiongeze !!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo walivyo baadhi ya watanzania !!!

    Mimi sio ccm na siwezi kuwa hivyo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo walivyo baadhi ya watanzania !!!

    Baadhi Watanzania wapo kama baadhi ya wanawake wanandoa ambao watapigwa, watanyanyashwa, wataumizwa, NAMBA WATAISOMA, na kila aina ya uovu watafanyiwa na waume zao, lakini ukiwaambia wadai talaka, watesema nampenda mume wangu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Pia Amesahau ''Kukataa sheria mama mpya yenye mawazo ya wananchi (Katiba).
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Sijaona bado hata moja !!!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Haya ndo magereza hatari zaidi Tanzania

    Kuna Gereza la Mrimba ilo Kaka umelisahau !!!!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Vijana waliopitia JKT watumike kuzuia maandamano yanayoratibiwa kinyume cha sheria.

    Ni wazo Jema vijana hao wa JKT wasaidie kutunza Amani wakti watu wanafanya Maandamano sio kuzuia maandamano.
  13. S

    JamiiForums Tanzania CCM, CHADEMA na Watanzania kwa ujumla huyu asipokuwa Rais mwaka 2025 nitawalaumu na kuwashangaa mno

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE naona ni zaidi ya Kiongozi na ukiona hadi Kitu au Mtu ' anasifiwa ' na ' kukubalika ' sana na Mimi jua ya kwamba hata Mwenyezi Mungu amekubali pamoja na wale ' Malaika ' zake Jibril na Mikaela hivyo nitawashangaeni sana Watanzania kama mwaka 2025 msipomchagua huyu Waziri...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    Ngoja tushughulike na msiba kwanza, maana marehemu anahitaji maombi zaidi.
Back
Top Bottom