Recent content by stephen mahenge

  1. stephen mahenge

    Bandari ya Bagamoyo aka Mbeganizhou ya Wachina

    hii ingekuwa busara watz kama wabunge wataafiki tuingie front. Nasubili msimamo wa mama mzazi. Eti bagamoyo bandari ya dar ina matatizo gani.
  2. stephen mahenge

    Total war in Dar, Vita kamili

    Naamini game tutashinda hakuna wasiwasi kikubwa tupambane tu. Yanga tuwaunge mkono simba utani wetu ubaki nyumbani hapa kusonga mbele kwa simba kunawasafishia njia na nyie kesho yenu. Kwani utajiamini kwa kumuangalia mwenzio.
  3. stephen mahenge

    Simba yaanzisha mashindano mapya

    Unajua binadamu uelewa wetu basi tu. Aweke b20 kwa nani afanye nn, chukulia mo katapeli wanasimba halafu mwana yanga unaumia nini.
  4. stephen mahenge

    Simba yaanzisha mashindano mapya

    Jamani mtu akibuni kitu kizuri mpongeze, Luna watu wanashangaa ligi ya timu tatu inaonesha si Mdau wa mpira Bali ushabiki wa simba na yanga ndo unawatesa. Tambua kwanza lengo mahususi la simba super cup ndo uanze kutoa povu. Jana msemaji wa timu kasisitiza sana juu lengo mahususi ya hili kwa...
  5. stephen mahenge

    "Baba" Diamond awe fundisho tosha kwa wanaume mnaosumbua wanawake wakipata mimba: msikimbie mimba, wala msizingue kama wazazi

    Kumbukeni mimba amepewa Akiwa mke wa mzee abdul. Kwa maelezo ya mama hivyo mondi ndo mwenye maamuzi ya hilo, mzee alichemka cha kufanya aende mahakamani adai jina lake kutumika.
  6. stephen mahenge

    Wito: Wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wadau wengine, anzeni kampeni ya kupinga sheria hii ya Bodi ya Mikopo ndani na nje ya nchi

    Ni kweli kaka shule yangu nimesoma kwa shida sana. Hivyo basi hili suala liende kwa mhusika. Pia tuwe na utamaduni wa kulipia watoto karo kwa kubana matumizi yetu ili mkopo unakuwa kwa wahitaji kwelikweli.
  7. stephen mahenge

    Wito: Wanasiasa wa upinzani, wanaharakati na wadau wengine, anzeni kampeni ya kupinga sheria hii ya Bodi ya Mikopo ndani na nje ya nchi

    Ukope wewe mimi nikose mkopo usome vizuri nisome kwa shida halafu tulipe wote acha utani. Sema serikali iondoe Riba na ipunguze makato.
  8. stephen mahenge

    Simba watajinyakulia 1.2 bilioni

    Wakenya wapo simba.
  9. stephen mahenge

    Busega: Mbunge Raphael Chegeni anagawa rushwa muda huu

    Sikatai kuwa busega tuna tatizo la kiuongozi ila mbinu tunazotumia hazisaidii twendeni vijijini tuwaeleze wazee na si humu mitandaoni, kwani mara anagawa 10,000/= mara 20,000/= wapiga kura wa busega hawapo jamii forum. LET BE SERIOUS BWANA.
  10. stephen mahenge

    Busega: Mbunge Raphael Chegeni anagawa rushwa muda huu

    Siasa feki hizo hamuwezi kumtoa chegeni kwa staili hiyo la msingi ni kuingia front na si kutumiwa majungu na kupost mitandaoni na anayewatuma anawadanganya bali hawezi kuwa hata mtendaji wa mtaa. Kwani hata family tu imemshinda.
Back
Top Bottom