Recent content by STEPHEN JR

  1. S

    Mbeya: Walimu wakamatwa na TAKUKURU kwa kula rushwa za Tsh 500!

    kwanza kabisa wanajamvi naomba kusikitishwa na taarifa zinazozidi kuenezwa na serikali ya chama cha mapinduzi kwa kasi kwa kutumia waandishi wa habari na vyombo vya habari vya kikanjanja. Si kweli kwamba shule ya sekondari forest imegeuzwa kuwa shule ya mateso,ni kwamba serikali dhaifu ya...
  2. S

    Katuni ya waliofeli Tanzania

    Huu ni mustakabali wa Tanzania na elimu yake kwa watoto wao.
  3. S

    Mwananchi: Anguko Elimu - 60% Wapata sifuri, shule za Serikali Chali

    hii ndio shule ya naibu waziri Amim Mulugo ambaye hajui ni nchi zipi zimetengeneza Tanzania,Hajui mwaka wa uhuru wala Muungano na haya ndo matokeo ya shule inayomilikiwa na yeye.
  4. S

    Tcu tena

    Hatimaye tcu wametoa tena ile sehemu ambayo ilikuwa inaonyesha mtu amekuwa selected wapi ubabaishaji mpya tusubiri tuone jamani.
  5. S

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    Kwanza kabisa arusha naomba mumshukuru Mungu amewapa nafasi nyingine ya kumrudisha kwenye harakati Mh Godbless Lema please thibitisheni kama mmeichoka ccm
  6. S

    Hivi hili la mzumbe university limekaaje?

    hoya jamani hebu tumieni minds zenu vizuri kama hujasoma mzumbe na haupo mzumbe usiseme chochote kwa sababu tunaosoma na waliosoma wanajua kuna course ngapi na mtu hapimwi kwa idadi ya course bali kwa competence yake kama vp tukutane kwenye knowledge application
  7. S

    CHADEMA yapata pigo jingine baada ya Slaa kushindwa kushawishi umma wa Arusha kukaa kwa wiki

    haya bwana tunashukuru kwa mawazo yaliyochoka lakini harakati no mwanzo wake subiri makubwa zaidi
  8. S

    Jakaya Kikwete ana tatizo gani

    Wana JF Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi anapomwambia Nape kuwa ni msaliti wa chama chake je kikwete amesahau majukumu aliyompa Nape au ndo kigeugeu?
  9. S

    John Mashaka adanganya umma kupitia ITV

    ndo tatizo lenu tanzania mtu akisema kweli anadanganya kwa hiyo wewe unadhani amedanganya nini zinduka wewe
  10. S

    Kwa staili hii, CHADEMA itavunja muungano

    wewe acha uzembe kama ccm kwani aliupigia kura huo muungano nenda kawaulize wazanzibari jielewe
  11. S

    Huyu ndiye Mkullo

    Wana JF mmemsikia waziri mchovu wa fedha Tz anasema eti pesa yetu inaposhuka thamani eti serikali yao haina la kufanya kwa sababu ya uchumi huria,kweli ni timamu huyu? Wachumi wenzangu tusaidiane kumuelimisha huyu
  12. S

    Wabunge wa CHADEMA waitikisa Singida Mjini

    safi sana makamanda bado cku ya zombe aliyetumwa kufanya siasa chafu...mapambano mbele chadema
  13. S

    Wabunge wa CHADEMA waitikisa Singida Mjini

    vp kwani nae zombe alikuwa anakula na wezi mbona alikaa kimya
Back
Top Bottom