1. Kidato cha kwanza mpaka cha nne Elimu ya biashara, uwekezaji na fedha itolewe kwa nadharia
2. Kidato cha tano na sita Elimu ya biashara na uwekezaji na fedha itolewe kwa vitendo walau asilimia 10 ya ada itumiwe na wanafunzi kubuni au kuwekeza kwe biashara kwa vitendo...
3. Chuo 20% ya Alama...
1. Tunaposema tumefanikiwa kuweza kuhakikisha asilimia kubwa ya vijana wetu kufika walao kidato cha nne, ni kwamba tumeongeza ufanisi kwenye ufundishaji na miundo mbinu ya Elimu au TUMEPUNGUZA UFANISI KATIKA UTUNZI NA USAHIHISHAJI WA MITIHANI??
2. Tunaowaita wabobezi wa maswala ya Elimu...
msala ni kupata mnaependa....kupata unae mpenda unaweza na kupata anaekupenda ni sawa.....kupata mnaependana ni bahati ambaya hupatikana kwa bahati na kwa wenye bahati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.