hahahahahahahahahahahah asante......... Ningekuwa na link ya direct na mwenyekiti wangu wa CCM ningemuuliza... Ila haya maswali yanamajibu........ Kidumu chama cha Mapinduzi
Kaka elimu tunayoitoa mahali popote inatusaidia sana. Mimi na wewe kama tunaipenda nchi yetu twende huko vijijini tutoe elimu bure na kwa kujitolea.....
Niliambiwa kuwa nikiwa mahali popote ninapo pata nafasi ya kusoma au kufanya jambo nilifnye to my epic yaani nilifanye vizuri mno si kufanya jambo ilimradi nimelifanya ilihali baadae nitakaposhindwa niweze kujijua nilikosea wapi na nijisahihishe vyema...... Lakini hii ni tofauti sana kwa vijana...
Umri wangu haujafika hata nusu ya miaka ya nchi yangu nimeshuhudia maendeleo makubwa sana ndani ya nchi yangu. Naishukuru CCM Kwa kunisaidia kufika hapa nilipo. Vijana wengi wa leo tunathubutu kusema kuwa CCM haijatufanyia lolote. Napenda kusema hapana kwani CCM imenipa haya yafuatayo na...
Umakini unahitajika fanya haraka usilale....... Chama kilicho na nia ya kweli na ya dhati kuikomboa nchi hii ni kile chama kilicho makini na mambo yake. Adolph Hitler aliwaua wayahudi kule ujerumani kwa amri yake, hakuwaua wayahudi wote wapo waliobaki ikisemekana kuwa walibaki ili tuone ni...
Yaah ni vyema kuon mabadiliko ya kisiasa kuanzia ngazi za chini kabisa katika muhimili wa taifa ila vyama rafiki vinahitaji miaka mingine 20 ili kujiimarisha na kuanza kutushawishi tena..... Napenda kusema kuwa bado vyama rafiki vina mapungufu mengi ambayo yanahitaji kufanyiwa marekebisho ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.