Recent content by Step by step

  1. Step by step

    JamiiForums Tanzania Natamani kula nyama pori nani mwenye kibali cha kuuza nyama pori kwa hapa Dodoma na anapatika maeneo gani

    Tafuta sungura tu ukate kiu yako nae ni mnyama pori au kanga
  2. Step by step

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Nissan X Trail

    Oil nzuri kabisa kwa xtrail ya 2010 ni ipi na bei yake. Yangu ina km 67,000
  3. Step by step

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaziuza Nissan Xtrail kwa wingi sana?

    Mkuu tusaidie kwa kutaja hao dealer wanaouza oil original tusijepigwa mjini hapa
  4. Step by step

    JamiiForums Tanzania Wale Msioamini Mauzauza, Hili ndo jini linalokuja kama Paka?

    Dah comment muhimu sana hii lwenye uzi
  5. Step by step

    JamiiForums Tanzania Mimi sifanyi maombi yoyote zaidi ya kusali sala ya baba yetu uliye mbinguni kila baada ya lisaa limoja

    Kama inakupa amani endelea nayo tu mkuu achana na haya maombi ya kupigana na shetani
  6. Step by step

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta mwanaume mmoja aliyejaa upendo na ukarimu kutoka kwa Mungu, atakayekubali kuwa kaka yangu

    Kama kweli unatafuta kaka kwa maana ya kaka wa kukushauri, kukuelekeza maisha na kukuonya unapokosea karibu inbox kwangu
  7. Step by step

    JamiiForums Tanzania KERO Tabia ya Shule za Serikali kugomea uhamisho hadi Mwanafunzi awe na Wastani A inaumiza sana

    Shida ni kwamba mtoto akifeli walimu wanafikewa nao wamejiongeza wanasita kupokea mtoto mwenye uwezo wa kati
  8. Step by step

    JamiiForums Tanzania Babu Trump ashaonya kuhusu ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Sasa endeleeni kuwachokoza TEC

    Those are these, these are those. Bi kizimkazi atakuuliza who is babu Trampu
  9. Step by step

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wamiliki vyuo vya afya vya City College acheni dhulma na unyonyaji

    Tuhuma, kama miongoni mwao kuna makada wa mboga mboga mwandishi ataitwa mchochezi kisha tutaunda tume
  10. Step by step

    JamiiForums Tanzania Body language.. Facial expression vinatambulisha mzigo mzito aliobeba moyoni

    Dah umetaja hiyo dawa umenikumbisha mbali sana, afya ya akili
  11. Step by step

    JamiiForums Tanzania Baada ya tendo la ndoa,mke wangu ameanza kuumwa tumbo,anasema nimemfanya mno.

    Hii code umekabia juu sana sijui kama jamaa kakuelewa
  12. Step by step

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Barabara ya Kibaha Mailimoja Mitaa ya Kwa Mang’umbi inasikitisha

    Mkuu hapo jiungeni tu mnaopita hiyo barabara muweke kifusi ukiwasubiri hawa kuna siku mtashindwa kutoka. Kumbuka wameshashinda uchaguzi
  13. Step by step

    JamiiForums Tanzania Natengeneza Computer na kuuza Accessories

    Betri ya laptop hp sh ngp boss
  14. Step by step

    JamiiForums Tanzania Nataka kujilipua nimtumie huyu jamaa ili aniunge bando la tiGO kwa Tzs 6,500

    Kwa ukimya huu itakua kashaliwa kichwa mtu. Sio mbaya amemchangia mwamba 6500 kwenye ada za watoto
Back
Top Bottom