Recent content by Stelamwangi

  1. S

    Mgombea wa CCM Dimani jitoe, hiyo ni laana

    Kama kawaida maisha yote baba ndio wa kwanza kumruka mwanawe kwa vijicent kidogo wakipewa. Mbona hatujasikia mama yake huyo mgombea akimkana mwanawe. Na hao wote ni wazazi. Uchungu wa mtoto haswa anajua mama na ndio si rahisi kumuua mwanawe kama huyo mzee. Siasa zetu za kiunguja tunazijua...
  2. S

    Spika Ndugai awaonya upinzani wasifukuze wabunge, awataka wajifunze kutoka CCM!

    Lakini si mtu yule yule na tabia yake ni ile ile au alipokuwa ccm alikuwa ni mchina na sasa hivi cafu kawa mswahili? Mbona nnamuona ni mtu yuleyule
  3. S

    Rais wangu Magufuli, Pemba haiitaji mikwara na vitisho bali mashauriano na mapatano

    Wachache wale waliokuwa wakinufaika Kipindi chote cha nyuma kabla Magufuli hajawa rais kwa nguvu za Watanzania wote.na ndio hao wengi wanao lalamika kwa kuona mambo ya dili dili sasa tabu.Kwa suala la uchonganishi rais sie alietuchonganisha wa zanzibari seif ndie alieanza na katika hutuba yake...
  4. S

    Rais wangu Magufuli, Pemba haiitaji mikwara na vitisho bali mashauriano na mapatano

    Rais ndio kwanza kaanza kazi hata mwaka bado unadhani kuwa yeye ni Merlin ana magic wand . Ndio maana anasisitizia watu waelewane ili kuwe na amani na wawekezaji waende . Na kwa upuuzi huu tulionao baada ya kusikiliza maneno ya busara na ya ukweli anayosema sisi tunayatafsiri vyengine ili...
  5. S

    Mkono wa Dhahabu wa Seif Vs mkono wa Kijani wa CCM

    Hao wako brain washed anaosema na kufanya seif kwao ndilo sawa tu.wa zanzibar wamegawanyika kabla magufuli kuwa rais. Rais kasema kweli haiwezekani iwe baniani ni mbaya kiatu chake kiwe dawa. Na hiyo ndio Macafu wengi walivyo ni wanafiki kama seif wao. Haya anzeni kunitukana.
  6. S

    Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

    Alotugombanisha wa zanzibari ni seif wala sio magufuli. Alokisema rais Magufuli ni kweli huwezi kumkataa na kusema huutambui utawala wa Shein halafu Shein huyo huyo akisain pesa unamtambua na kuzichukuwa.
  7. S

    Rais wangu Magufuli, Pemba haiitaji mikwara na vitisho bali mashauriano na mapatano

    Hivyo maneno yote aliyoyasema kuhusu masikilizano, amani, uekezani na anavyotaka pemba iendele yote hayo yametokea sikio jengine. Kweli nyie ndio msiotaka maendeleo. Rais ameongea ukweli kabisa vijana wanataka ajira na sio wa cafu au ccm bali wote. Na mengine mengi ya maana ameongea ambayo kwa...
  8. S

    Magufuli anasafisha nchi, tumuunge mkono

    Hakuna binadamu aliekamilika. Lakinii Magufuli anajitahidi sana kutaka nchi yetu iende mbele Ila kuna baadhi ya watu hawana subira.kasi yake ya utendaje kwa Kipindi hiki kidogo kimeleta mabadiliko makubwa hasa katika huduma za Serikali. Na kwa wa Tanzania tulipofikia tunahitaji rais kama Huyu...
  9. S

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein atangaza Baraza lake la Mawaziri

    Hongera Balozi Amina salum Ali. nnnakukubali na nnaamini utendaji wako na sitosahau zanzibar ilivyokuwa wakati ulipokuwa waziri wa fedha.na rais salmini.kazi njema balozi.
  10. S

    Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

    Inawezekana mheshimiwa rais anaphobia ya ndege maana inasemekana hata alipokuwa waziri alikuwa hasafiri. Na kama kweli basi itabidi atafute wataalam wa Msaidie kwani nchi nyengine hazifikiki kwa gari.
  11. S

    Pemba: Migomo Imeanza Kushamiri CUF dhidi ya CCM

    Poleni sana kama siasa ndio inakufanya mtu muhasimiane na familia yako. Kitu kinacho nishangaza mnajiita waislam sasa hiyo dini yenu inasemaje kuhusu ndugu, jirani na hivyo mnavyotaka kuishi. Sasa huyo mzazi au kaka,au,mjomba wako akiwa ccm na Yuko Huko pemba je Ulimuangalia ukaona maisha yake...
  12. S

    Magufuli; Hatutaki Pesa Za Msaada! Wakati Wewe Mwenyewe Umeingia Ikulu Kwa Msaada.

    Je imekusa nini mzee? Good. Nenda kafanye kazi acha kulialia
  13. S

    Magufuli; Hatutaki Pesa Za Msaada! Wakati Wewe Mwenyewe Umeingia Ikulu Kwa Msaada.

    Hebu mmuache rais afanye kazi yake. Kaingia madarakani kwa kipindi kidogo tu na Tumeona tafauti yake na viongozi wengine. Tumpe muda Hamuishi kulalamika misaada misaada na kulia kama watoto. Angalia nchi ilivyokuwa imejaa wasenge kila kona kwa kupenda misaada.tutajitegemea lini? Nchi na utajiri...
  14. S

    Tamko la ACT-Wazalendo juu ya kusitishwa misaada ya MCC

    ukiamka utajua uzawa na pride ni nini we kaa unachobokea misaada tuhujiukizi toka uhuru misaada mingapi imefika na umebadilika nini mpaka leo!!!
  15. S

    Marekani yasitisha rasmi Ufadhili wake wa MCC kwa Tanzania

    wrong again tatizo sio waarabu wala wazungu ni hiyo misaada yenye ndoano. I'm for help your self to get. There. Na muanzilishi mkuu Nipo nae we need to see this in different angle remember mevric like. Garvey, malcom, Khalid Mohamed. Luther they all perish for the sake of awakening people like...
Back
Top Bottom