Magufuli; Hatutaki Pesa Za Msaada! Wakati Wewe Mwenyewe Umeingia Ikulu Kwa Msaada.

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakheria Wadau;
Naona Mkuu Wa Kaya Amekuja Na Kujitutumia Sana Kuwa Hatak Pesa Za Msaada! Na Inchi Inaweza Kutoa Misaada Nje! Aaaaah! Aaaaah! Mkuu Umesahau Kuwa Hata Hapo Ikulu Uliingia Kwa Msaada!! Tena Kwa Msaada Wa Hasira Za Bifu Za Watu Fulan! Sidhan Kama Hapo Ikulu Umefungiwa Mita Za Luku! Au Kule Kwenu Chato Hakuna Umeme! Kwa Maana Usingetoa Kauli Kama Hzi!! Tanzania Ni Maskin Hiyo Inajulikana!! Unakataa Pesa Kisa Kufuta Maneno Machache Kweny Sheria Inayokandamiza Watu Unamaind! Unataka Kutufunga Midomo Na Kutuaminisha Ujinga?? No! Mimi Hunipati! Now Naanza Kuamin Kuwa Wasukuma Ni Watu Msioshaurika!! MAGU act Like A President!! Kumbuka Mpaka Leo Matombo Morogoro Hakuna Umeme! We Unazuia! 1T. Jichunguze Mkuu
 
Hajasema hataki hela za misaada ila hataki misaada yenye masharti kama unajifunza uandishi jitahidi kuandika ukweli ndugu bila kuhusisha siasa na itakadi zako
 
Hebu mmuache rais afanye kazi yake. Kaingia madarakani kwa kipindi kidogo tu na Tumeona tafauti yake na viongozi wengine. Tumpe muda Hamuishi kulalamika misaada misaada na kulia kama watoto. Angalia nchi ilivyokuwa imejaa wasenge kila kona kwa kupenda misaada.tutajitegemea lini? Nchi na utajiri wote huu bado dume zima linalia misaada. Mtavuliwa suruali kwa misaada. Aibu mpaka wamasai pia wamekuwa mashoga kwa kupenda misaada. Ahhhhhhhhhh tafuteni Jengine la kumsimanga magufuli lakini kwa la misaada Tushachoka kusikia.
 
Unapotosha, hajakataa hata hizo za msaada wenye masharti bali tumenyimwa kwa kubaka demokrasia. Kwani hizo hela za MCC tumezikataa au tumenyimwa? sasa unasemaje kakataa zenye masharti? Na ni nani aliyekuambia kuna msaada usio na masharti dunia hii?
 
kwani huo utajiri umekuwepo leo! mbona ni masikini wa kutupwa! jaa upepo kichwani eti sisi ni matajiri wakati bibi yako huko kijijini anakufa njaa!
 
Sabakheria Wadau;
Naona Mkuu Wa Kaya Amekuja Na Kujitutumia Sana Kuwa Hatak Pesa Za Msaada! Na Inchi Inaweza Kutoa Misaada Nje! Aaaaah! Aaaaah! Mkuu Umesahau Kuwa Hata Hapo Ikulu Uliingia Kwa Msaada!! Tena Kwa Msaada Wa Hasira Za Bifu Za Watu Fulan! Sidhan Kama Hapo Ikulu Umefungiwa Mita Za Luku! Au Kule Kwenu Chato Hakuna Umeme! Kwa Maana Usingetoa Kauli Kama Hzi!! Tanzania Ni Maskin Hiyo Inajulikana!! Unakataa Pesa Kisa Kufuta Maneno Machache Kweny Sheria Inayokandamiza Watu Unamaind! Unataka Kutufunga Midomo Na Kutuaminisha Ujinga?? No! Mimi Hunipati! Now Naanza Kuamin Kuwa Wasukuma Ni Watu Msioshaurika!! MAGU act Like A President!! Kumbuka Mpaka Leo Matombo Morogoro Hakuna Umeme! We Unazuia! 1T. Jichunguze Mkuu
Mtatapatapa sana mwaka huu.
 
Either una akili ndogo au hauna kabisa.
 
Unapotosha, hajakataa hata hizo za msaada wenye masharti bali tumenyimwa kwa kubaka demokrasia. Kwani hizo hela za MCC tumezikataa au tumenyimwa? sasa unasemaje kakataa zenye masharti? Na ni nani aliyekuambia kuna msaada usio na masharti dunia hii?
LL
Labda ulitumia njia tofauti na sisi kumsikiliza wenzako tulitumia masikio sijui mwenzetu ulitumia nini
 
Hebu mmuache rais afanye kazi yake. Kaingia madarakani kwa kipindi kidogo tu na Tumeona tafauti yake na viongozi wengine. Tumpe muda Hamuishi kulalamika misaada misaada na kulia kama watoto. Angalia nchi ilivyokuwa imejaa wasenge kila kona kwa kupenda misaada.tutajitegemea lini? Nchi na utajiri wote huu bado dume zima linalia misaada. Mtavuliwa suruali kwa misaada. Aibu mpaka wamasai pia wamekuwa mashoga kwa kupenda misaada. Ahhhhhhhhhh tafuteni Jengine la kumsimanga magufuli lakini kwa la misaada Tushachoka kusikia.
Utafiti unaonyesha wakina dada wengi wenye hasira na matusi hua hawafikishwi kileleni vzr, hivyo kisirani hakiishi. Sijui ni kweli?
 
Pesa tumenyimwa sio hatuzitaki wala sio kazikataaa,Demokrasia errors....
 
Hebu mmuache rais afanye kazi yake. Kaingia madarakani kwa kipindi kidogo tu na Tumeona tafauti yake na viongozi wengine. Tumpe muda Hamuishi kulalamika misaada misaada na kulia kama watoto. Angalia nchi ilivyokuwa imejaa wasenge kila kona kwa kupenda misaada.tutajitegemea lini? Nchi na utajiri wote huu bado dume zima linalia misaada. Mtavuliwa suruali kwa misaada. Aibu mpaka wamasai pia wamekuwa mashoga kwa kupenda misaada. Ahhhhhhhhhh tafuteni Jengine la kumsimanga magufuli lakini kwa la misaada Tushachoka kusikia.
tofauti na viongozi gani ?na ni tofauti ipi hiyo kurap kama kina mwanafalsafa au
 
Huna unaloongea unapiga siasa tu hapa jukwaani.
sikiliza hapa lakini tumia masikio ndugu yangu. sijaona sehemu yeyote ambayo kasema hataki misaada. Lakini mimi ni nani kukufahamisha maana wewe ni kati ya watu ambao kila lisemwalo na kina Zitto, Mbowe, Mtatiro na Kinana hata kama ni porojo za kisiasa unafuata bila kutumia uwezo aliokupatia Muumba wako wa kutafakari na kukubali penye ukweli au kukataa penye uongo. Sisi kama watanzania tuachane na Itikadi zetu tufuate yale ya kweli kwa maendeleo yetu bila kubeza nani anasema awe ni CCM ama Upinzani kama kuna ukweli lazima tuunge mkono. hapa Rais kasema ukweli hakuna mtu mwenye akili atakusaidia bure lazima aweke masharti, hawa kama kweli wanazungumzia demokrasia bila kujali ustawi wa jamii walitakiwa wasitishe misaada miaka mingi iliyopita. Maana katika pesa nyingi walizoopatia serikali zimeliwa na wajanja wachache, Hospitali nyingi hazina madawa miaka yote, kwanini hawahoji na kuuliza pesa zinatumiwaje?? Huyu jamaa kaja na nia nzuri hawapendi sababu siku zote hawa jamaa wanataka rais anayesema ndiyo bwana hata kama akinyanyasa wananchi wake. Hakuna nchi yenye unyanyasaji kuzidi saudi Arabia hata Israel umesikia marekani wameweka vikwazo?????? maana pamoja na kunyanyasa saudia inawaachia wafanye wanavyotaka. JAMAA HAWANA UCHUNGU NA WEWE NDUGU YANGU WAPO KWA MASLAHI YAO, NA HAO KINA UKAWA WANAUNGA MKONO MAANA WANAJUA SISI WANANCHI TUKIFUNGISHWA MKANDA TUTAENDA MITAANI NA KUFANYA MAPINDUZI NA WAO WATAKUA WA KWANZA KUINGIA MADARAKANI. Mimi nimebahatika kufanya katika kampuni kubwa ya ujenzi kwa miaka 15 ambayo ilikua inapewa miradi hii ya misaada. Ukiangalia masharti yalikua katika hiyo mikataba unaweza kulia kama wewe ni mzalendo wa kweli. Mradi wa barabara ya morogoro, katika mkataba ulisema Contractor lazima atoke donor country, procurement zote lazima zitoke donor country, hapo ujue mpaka ule mchanga uliagizwa kutoka Ufransa. Most skilled labour (i.e Engineers and managers for the project) walitakiwa watoke donor country. Materials purchased should be duty free. Salaries for the expatriates to be paid overseas with no tax. huo ni mradi moja tu ningependa nikujulishe mengi lakini siwezi. JE UNATAKA NCHI IENDESHWE NAMNA HII? JAMAA MIAKA 3 MFULULIZO HAWAKULIPA CORPERATION TAX
WAKISINGIZIA WAMEPATA LOSS HAWAKUPATA FAIDA, MAANA LEGALLY WANAWEZA KUKWEPA KODI KWA KUCHEZA NA VITABU VYAO VYA MAHESABU UJUE NI KAMPUNI TANZU. Ndiyo maana mtu kama mimi namuelewa huyu mzee wa chato ana maana gani na ujue kakaa katika ujenzi miaka mingi na huko ndiko kuna miradi mingi ya misaada. NDUGU YANGU KWA KIFUPI WAKIJA WANAKUPATIA HATA DOLA MIL 600 LAKINI HIZO ZOTE ZINARUDI KWAO WEWE UNABAKI MA STRUCTURE MAANA MAJENGO BILA VITENDEA KAZI. NDIYO MAANA NIKISIKIA KELELE KUTOKA KWA WASOMI KAMA KINA KABWE WANASHABIA UPUUZI HUU BILA KUMUUNGA MKONO RAIS NAONA NI WALE WALE WANATAKA KUTURUDISHA KULE KWA MZEE RUKSA. Pia ieleweka kwamba mzee Mkapa alikula nayo sambamba haya makampuni. TRA ilipoundwa kuchukua nafasi za inland revenue na customs na duty kupitia parliamentary act 11 of 1995. Tulitembelewa na auditors wa TRA wakagundua kuwa kulikua hakuna payroll za wazungu wakaagiza ziletwe maana tulikua tunwaonyesha za hapa ambazo kiukweli zilikua za kujikimu. ati mtu analipwa laki tatu, ndipo siri ikafichuka kumbe jamaa walikua wanalipwa dola 3000 mpaka 10000 kwa mwezi bila kodi
 
Sabakheria Wadau;
Naona Mkuu Wa Kaya Amekuja Na Kujitutumia Sana Kuwa Hatak Pesa Za Msaada! Na Inchi Inaweza Kutoa Misaada Nje! Aaaaah! Aaaaah! Mkuu Umesahau Kuwa Hata Hapo Ikulu Uliingia Kwa Msaada!! Tena Kwa Msaada Wa Hasira Za Bifu Za Watu Fulan! Sidhan Kama Hapo Ikulu Umefungiwa Mita Za Luku! Au Kule Kwenu Chato Hakuna Umeme! Kwa Maana Usingetoa Kauli Kama Hzi!! Tanzania Ni Maskin Hiyo Inajulikana!! Unakataa Pesa Kisa Kufuta Maneno Machache Kweny Sheria Inayokandamiza Watu Unamaind! Unataka Kutufunga Midomo Na Kutuaminisha Ujinga?? No! Mimi Hunipati! Now Naanza Kuamin Kuwa Wasukuma Ni Watu Msioshaurika!! MAGU act Like A President!! Kumbuka Mpaka Leo Matombo Morogoro Hakuna Umeme! We Unazuia! 1T. Jichunguze Mkuu
Mzama chumvini....umeshazama chumvini hadi unaweweseka...soma ulichoandika tena utagundua ulimi na uso wako umejaa fangas
 
Sabakheria Wadau;
Naona Mkuu Wa Kaya Amekuja Na Kujitutumia Sana Kuwa Hatak Pesa Za Msaada! Na Inchi Inaweza Kutoa Misaada Nje! Aaaaah! Aaaaah! Mkuu Umesahau Kuwa Hata Hapo Ikulu Uliingia Kwa Msaada!! Tena Kwa Msaada Wa Hasira Za Bifu Za Watu Fulan! Sidhan Kama Hapo Ikulu Umefungiwa Mita Za Luku! Au Kule Kwenu Chato Hakuna Umeme! Kwa Maana Usingetoa Kauli Kama Hzi!! Tanzania Ni Maskin Hiyo Inajulikana!! Unakataa Pesa Kisa Kufuta Maneno Machache Kweny Sheria Inayokandamiza Watu Unamaind! Unataka Kutufunga Midomo Na Kutuaminisha Ujinga?? No! Mimi Hunipati! Now Naanza Kuamin Kuwa Wasukuma Ni Watu Msioshaurika!! MAGU act Like A President!! Kumbuka Mpaka Leo Matombo Morogoro Hakuna Umeme! We Unazuia! 1T. Jichunguze Mkuu
Rais anajua anachofanya .....ndo maana kauli in 'kazi tuu " so chapa kaz acha majungu muunge mkono raid acha maneno ya matope
 
Back
Top Bottom