Recent content by STAWA

  1. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Kumbe bado ujamwelewa hebu lud kwa Mara nyngne ukasome ile post then umshilikishe na best yako akwambie maana ya huyo aliepost, ajafanya utan zote n point tena znaujazo
  2. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Hebu jifute maziwa uliyokunywa kwenye mijidevu yako bado unadhihilisha we n mtoto kwa kwel,kakue kiakili kwanza ndo uje tuongee inamaana haujui unachokizungumza
  3. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    We n wale wanaofata mkumbo tu maana hauelewi mambo madogo,je!makubwa utaelewa kwel?jenga hoja bhana ushow ulchonacho kichwan jombaa
  4. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Hivi umemwelewa huyo jamaa anachosema au
  5. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Babuu safi sama una maakil ming kwa kichwa
  6. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Tatizo co kubadili vyama hapa kuwatoa ccm wala kumweka nan hapo juu,shida ni kumpata kiongozi bora haijalishi anatokea upande upi ili mradi aweze kusimamia mambo ya watanzania yaende kama yanavyotakiwa.Tuondokane na hii dhana ya kwamba tumpe ukawa mara ccm wote hawa wapo wazur na wabaya...
  7. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    We kweli bado ujakomaa kisiasa na haufatilii,hebu jiulize huyo lowasa waliempokea leo ilikuwaje kipindi cha nyuma walimwongeaje hao viongozi wa chadema lakn leo n rafk kwao na mtu muhimu.Jenga picha akilin mwako uone kama co unafki na usalit huo wanaowafanyia watanzania
  8. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Haupo sahh inabdi tuachane na habar za ccm na ukawa tuangalie kiongozi bora tukiendelea na mawazo hayo ya kipumbavu tutaishia pabaya
  9. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Ina maana n wanachama wa ccm au cjaelewa hebu fafanua
  10. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Hv n ww ndo umeprnt hch kitu,tazama mbele na ludi utazame mchakato mzima wa richmond mwanzo mwisho ndo ulud tena inawezekana kipind hicho haukuwa na uwelewa mzuri juu ya mambo hayo
  11. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Ngojea tuone lakn c lahc namna hiyo kama unavyofikilia weye
  12. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Hi ni siasa bhana kwan tangu michakato hii imeanza ulijua kuwa lowasa hiv sasa angekuwa chadema?
  13. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Ukisema hivyo unakosea haupigi kura mwenyewe
  14. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Afadhali yako ww umejua hilo siasa za tanzania n upuuzi mtupu yan hakuna wanalofanya zaid ya kujali matumbo yao tu,Hakuna chama knachoangalia maisha ya watanzania n polojo na usalit tu
  15. STAWA

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Majibu yake hayardhish kwa kwel na hata upinzani nao n wanafiki wakubwa sana na wanasiasa za kipuuzi na kipumbavu na hata huyu El nae anauchu wa madalaka na kama akipita ukawa itakuwa ccm nyingne tena
Back
Top Bottom